Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu...
12 Reactions
60 Replies
5K Views
Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima...
11 Reactions
77 Replies
5K Views
Hii ni habari kwa mujibu wa gazeti moja la nchini Kenya ambalo limefanya mahojiano na Lema akiwa nchini humo kutafuta hifadhi ya kisiasa. Habari kamaili hii. ======= Former Tanzanian MP...
11 Reactions
72 Replies
8K Views
Nimemsikiliza vizuri sana msemaji wa NCCR Mageuzi ndugu Edward Simbeye akisema kua kuna takribani Watanzania zaidi ya 40 walipoteza uhai wao uliotokea wakati wa uchaguzi pande zote mbili bara na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania ni kimbilio la wengi wanaoitafuta amani na siyo kinyume chake. Napendekeza viongozi wa kamati ya amani nchini , mwenyekiti shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salumu na askofu Gamanywa wa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa watu wanaonijua vyema, nina karama na uwezo wa kusoma siasa za nchi fulani na kutabiri mabadiliko ambayo wengi wanakuwa bado hawajayaona. Haya si majisifu, nasema tu ukweli. Nilifanya hivyo...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
Mhesh Kassimu Majaliwa amemtembea nguli huyo wa muziki Nchini almaarufu Mzee wa Kitambaa Cheupe Nyumbani kwake leo.
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha Rais aingiapo madarakani? Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani. Kwanini anaapa au anaapishwa? Kinga aliyonayo ni kubwa sioni...
24 Reactions
83 Replies
11K Views
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema amemuengua Bonaventura Peter Ndekenja wa chama cha NRA aliyemtumia baruapepe akieleza nia yake ya kutaka kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Huyu mama ni mtangazaji wa BBC na ni mzaliwa wa Tanzania mwenye uchungu na nchi yake. Isomeni lugha yake ya picha muone
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi. Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika Nilipita Kumjulia hali...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka CHADEMA kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajuzi tu Naomba maoni. Iwapo CHADEMA watagoma kupeleka Wabunge wa Viti Maalumu Bungeni, katiba yetu inasemaje kuhusu hili? Nimeuliza hili kwa kuwa hao wabunge wa viti maalumu hupatikana kwa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Limeibuka wimbi la baadhi ya viongozi wa kisiasa kukimbilia kwenye balozi zinazowakilisha nchi zao au mashirika ya ukimbizi kwa madai ya kuteswa (persecution). Kwa tafsiri ya jumla kwa...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Awali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda. Pili nampongeza Mh. Freeman Mbowe kwa kuamua kujiengua kwenye kinyang'anyiro cha Urais na kumpisha Tundu Lissu...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa...
5 Reactions
103 Replies
10K Views
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5. Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimeona nitoe mawazo yangu juu ya hiki kitu wanachokifanya Chadema sababu now ni kama hakina madhara makubwa kivile Ile huenda story ikawa mbaya baadae kwa serikali na Chadema...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Uteuzi: Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu ======= WAKATI Mwanasheria Mkuu wa Serikali mteule, Dk. Adelardus...
6 Reactions
102 Replies
30K Views
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana.... Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil...
86 Reactions
184 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…