Sheria inasemaje iwapo CHADEMA wataendelea kugomea Viti Maalum?

Wajuzi tu Naomba maoni. Iwapo Chadema watagoma kupeleka wabunge wa viti maalumu bungeni, katiba yetu inasemaje kuhusu hili?

Nineuliza hili kwa kuwa hao wabunge wa viti maalumu hupatikana kwa idadi ya kura. Na mgawanyo wa idadi unategemea kura ulizopata kwenye ubunge.
Simple. Ukisusa, sie twala.
 
Vipi habari ya chama kupata 12.5% ya kura za ubunge imezingatiwa?
And why NCCR na sio ACT au CUF ambao wana kura nyingi kuliko NCCR?
Mahera anadai kuwa NCCR wanafanya kazi zao kwa kufuata katiba kweli kweli. Kwahiyo wanawapatia nafasi hizo ili walitumikie taifa.
 
Kuhusu nccr ni rumours tu bado haijathibitishwa. Na mtu akikomaa mahakamani ni uvunjifu wa katiba
Pia sidhani kama hata hao wanaotaka kuwadanganya kuwa kuna wabunge wa upinzani ili zile Trillion 2 na ushee wazitoe wata kubali ujinga huo.

Kiukweli mkakati wa Jiwe na ccm yake ulipangwa bila kutumia akili sasa wanahaha kujinusuru.

Kuikosesha nchi zaidi ya Trilioni 2 pesa ambazo tayari zilikuwepo no zaidi ya UHUJUMU UCHUMI na uuaji kabisa.

Na sio hizo tuu Bali kuna nyingine nyingi tutakumbana na ribit hakuna mfano sababu ya UJINGA TUU
 
Think Tank wao alikosea mahesabu ya baada ya hapo nini kinafuata, ambacho wangefanya wangepandikiza wabunge wa kuchaguliwa cdm kama hata 20 dizaini ya akina lijualikali kisha wakashinda majimboni then wakawatumia mda huu. Sasa kutegemea viti maalum kisha mkuu wa kambi Rasmi awe yule wa Nkasi wamekosea
 
Simple tu..........Bunge litaendelea bila wao hadi mwisho
 
Back
Top Bottom