Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa...
4 Reactions
6 Replies
299 Views
Huyu hehe kaibukia madhabahuni kwenye mkesha akatapika nyongo za mafumbo kisha karudi mafichoni.. Nina hakika alikuwa na ulinzi heavy Sana na mbinu za kivita mpaka alipofanikiwa kurudi mafichoni...
13 Reactions
19 Replies
518 Views
Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi. Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya...
6 Reactions
21 Replies
441 Views
Kijana Jovin Kaaya, mzaliwa wa Mkoa wa Arusha, amesimulia kwa kina sakata la kukamatwa kwake jijini Dar es Salaam Oktoba 31, 2025 na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, hadi kuachiwa huru baada ya kesi...
6 Reactions
6 Replies
407 Views
J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo...
1 Reactions
3 Replies
194 Views
Wananchi wa Jimbo la Fuoni lililopo wilaya ya Magharibi B mkoa wa Mjini Mgaharibi, Zanzibar wameendelea kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Mbunge katika jimbo hilo. Uchaguzi huo...
1 Reactions
3 Replies
175 Views
1: Alianza Ole Nasha kuzuia ngorongoro isiuzwe na wamasai kuuawa akapotezwa wakaibuka wengine 2: Akaja Job Ndugai akasema nchi itapigwa mnada akapotezwa 3: Akaja Ally Kibao akagoma kununuliwa na...
17 Reactions
12 Replies
582 Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗔𝗚𝗨𝗔 𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗔𝗠𝗕𝗔𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗜 𝗥𝗨𝗩𝗨 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Desemba 29, 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
5 Reactions
12 Replies
245 Views
Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli. Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia...
9 Reactions
27 Replies
553 Views
Huku nywi nywi nywi kule wapigwe tu, huko simba ananguruma, chini songea kimya kama vile hayupo! Wapi twende!
2 Reactions
7 Replies
322 Views
Amendika Malisa kupitia mtandaoni; Baada ya kushikiliwa kwa siku 3 kituo kikuu cha polisi (Central) Moshi, hatimaye Thadei Kweka amepandishwa mahakamani mchana huu, leo Desemba 31, katika...
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Jumla ya wapiga kura 88,000 walitarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, uliofanyika jana Desemba 30, 2025. Msimamizi wa Uchaguzi wa...
2 Reactions
10 Replies
383 Views
Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa. Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu...
0 Reactions
3 Replies
183 Views
Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
4 Reactions
85 Replies
3K Views
Great Thinkers Tuanze kustuka mapema. Huyu muuaji amejitutumua kuhutubia kutoka mafichoni akiendeleza upuuzi wa kutetea mauaji makubwa ya Oktoba 29 2025. Amekuja na mchanyato kwamba anaandaa tume...
2 Reactions
0 Replies
141 Views
Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi. Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa...
3 Reactions
6 Replies
254 Views
Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa...
4 Reactions
19 Replies
368 Views
https://youtu.be/DQve6MgYYtU?si=gSHWEMj76INC8rxZ Hatimaye tutamuona tena....!! Baba Mungu wa mbinguni katika Yesu Kristo kampa Green Light ya kutoka na kuzungumza tena na Watanzania na ulimwengu...
7 Reactions
33 Replies
935 Views
Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI...
8 Reactions
53 Replies
1K Views
Back
Top Bottom