Rais wa Marekani, Donald Trump amedai Taifa hilo limefanya shambulio kubwa Nchini Venezuela na kuwakamata Rais wake, Nicolas Maduro, na mkewe na kusafirishwa kwa ndege kutoka nchini humo
Kupitia...
Huyu jamaa kateka, kaua na kapoteza watu wengi sana nchini lakini Wala haguswi na mkono wowote wa Sheria za nchi.
Hivi Jaji Chande na Tume yake uchwara alikutana na mtu kama huyu anaweza kuwa na...
Serikali ya CCM bado aijawa tayari na aitaki kuukubali ukweli bado imekaa kipropaganda siasa za uongo kuadaa watu
Hayo maridhiano yao wanayoyasema ni ya kiini macho kutaka maokoto ya wazungu...
YAH: MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KAULI NA UTARATIBU WA ASKOFU MKUU YUDA THADDEUS RUWA’ICHI WA JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM
KWA: BALOZI WA PAPA (APOSTOLIC NUNCIO), DAR ES SALAAM.
Mpendwa Baba...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na...
Toeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa...
Biashara ya ujinga ndo imetajirisha watu hapa Africa
The same person anachukua madini yako at lowest price Ila anarudi na msaada wa Vyandarua na Condoms na unampigia makofi na kuamini Una deni...
Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza .
Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani...
Nchi yetu inaonekana kukosa mifumo thabiti ya uwajibikaji, jambo linalosababisha watu wachache kuwa na mamlaka makubwa kupita kiasi bila kuwajibishwa ipasavyo. Mwisho wa siku, athari zake...
Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Kuna kitu kinaitwa combustion! Halafu kuna combustion chambers!
Piston rings kwenye engine zikilegea engine itapiga kelele na kukosa nguvu .. Kwa maana ya kwamba combustion haitafanya kazi...
KUSITISHWA KWA SAFARI ZA TRENI YA SGR DAR ES SALAAM–DODOMA
Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone
Hivi karibuni, Shirika la Reli Tanzania TRC limethibitisha rasmi kusitishwa kwa muda usiyojulikana...
1. Humphrey Polepole.
Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge.
2. Geoffrey Mwambe.
Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge.
3. Daniel Chonchoriro.
Mjumbe wa mkutano mkuu CCM.
4...
MHASIBU Mkuu wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mbogo Alexander Munubi, amefariki dunia ghafla tarehe 28 Desemba 2025, mkoani Dodoma.
Mipango ya mazishi inaendelea kuratibiwa kwa ushirikiano...
..nadhani IGP Sirro anapaswa ku-step back na ku-access "kamba imekatikia" wapi.
..mahusiano yake na CDM kwa ujumla siyo mazuri na hali hiyo inaletea TENSION nchini.
..mimi namshauri akutane na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.