Kushindwa kwa Donald Trump itakuwa pigo kwa Afrika. Kwa nini nasema hivyo Trump anapinga ushoga, Trump aliwambia marais wa Afrika wajitegemee, Trump alikataa kushambulia mataifa machanga kisa...
HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza -...
Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu...
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze...
Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba.
Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini...
Kama sikosei, hata kanuni za Mjengoni haziruhusu kumshambulia mtu ambae hayumo mule ndani kwani hatokuwa na nafasi ya kujibu. Hata hivyo, naomba niwaambie mapema kabisa kuwa, kanuni hii...
Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo...
Tundu Lissu kama tunavyojua na kuona leo ameondoka Tanzania na kuelekea uhamishoni.
Lakini siku za Karibu Hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu alimtaka Mh. Tundu Lissu kutokea mahakamani...
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo...
Mara mbili katika matukio muhimu nchini, Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa ushauri ambao huenda tumeanza kuusahau.
Moja ni pale alipowashauri wa Tz kuukubali mfumo wa vyama vingi vya kisiasa -...
DIWANI WA CHADEMA AMWANDIKIA UJUMBE LISSU.
Lissu ukifika Ubelgiji waulize kaburi la Lumumba liko wapi?.
Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi...
Duniani kote uende Ulaya, Amerika au Marekani ya Kaskazini wazee huwa ndio washauri na ndio huwa wanatoa maoni juu ya suala lolote muhimu juu ya mustakabali wa taifa au nchi yao.
Mzee Lyatonga...
Kichwa cha habari hapo juu kimejitosheleza.
Viongozi wetu wa kiroho wanapaswa wafanyiwe maombezi maalumu maana wameacha misingi yao ya kiimani badala yake wamekuwa wakifanya matendo yasiyo...
Baada ya yaliyotokea katika uchaguzi mkuu
(a) Vyama vya upinzani vinaweza kufanya nini ndani ya nchi (internally) ili kupinga matokeo na kushinikiza uchaguzi mpya chini ya tume huru...
Miaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu...
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa...
Na Elius Ndabila
0768239284
Baada ya Mh Rais kuwateua Mawaziri wawili, yaani Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi na Waziri wa Fedha Prof Mpango kumezuka watu wanaoandika mtandaoni kuwa Rais...
Kuhusu maandamano na uwajibikaji wa wananchi katika kuiwajibisha Serikali au kupinga jambo wakiwa kama waTanzania kwa ujumla wao,hizi za kina Chadema na ACT Wazalendo na wengine kama wapo ni...
Wana JF,
Huu uzi ni wa kumbukumbu. Weka hapa mambo yote ya kusikitisha yaliyotokea katika uchaguzi mkuu wa 2020. JF ni sehemu ya kuelimishana na kutunza kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo...