Akihojiwa na kituo cha habari cha Sauti ya Ujerumani, Jenerali ulimwengu amesema kuwa zoezi la uchaguzi mkuu halikuwa huru na haki na kwamba tangu mchakato wa upinzani uanze, wapinzani walitendewa...
Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.
Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa...
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka...
Kama ilivyoada kuweka kumbukumbu sawa, ni wakati wa kuweka yaliyojiri na yatarajiwayo kujiri nchini mwetu chini ya RAIS MAGUFULI.
Mosi Mheshimiwa ameshinda kwa kura milion takribani 12 na...
Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia uwezo wako binafsi kuhakikisha unatimiza ndoto za maisha yako.
Vijana wengi wamekuwa wakipoteza dhamira zao za mafaniko kisa tu kushindwa kutumia kipawa...
Hukumu ya akina Maxence Melo imesomwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Kulikuwa na mashtaka mawili. La kwanza ni kutotumia kikoa kinachotambulika hapa nchini. La pili, ni...
Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....
Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.
Sababu kubwa ni kwamba...
Mhe askofu Gwajima akitoa neno la shukurani baada ya Rais kuhutubia Bunge amemshauri Mh. Magufuli kuwaacha mbwa waendelee kubweka.
Wajuvi wa Mambo, tunaomba mtujuze hao mbwa ni akina nani? Ni...
Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.
Hakuna mtu mwenye...
Mail & Guardian moja kati ya gazeti linalopigania usawa na uhuru wa kujieleza katika nchi za Kiafrika limeandika kuwa Uandishi wa Habari unapoteza maana yake kwa kuwa waandishi wa habari wana...
Kama kuna kitu kinachangia uminywaji wa haki za msingi wa wananchi hususani na watawala ni tabia ya Watanzania kuwa wanga na kuishia kusema ‘basi Sawa ’.
Eti Mtanzania anataka aonewe huruma...
Ni dhahiri kwamba Tume Ya Uchaguzi iliyopo si tume huru kama misingi ya chaguzi za kidemokrasia inavyohitaji.
Mojawapo ya mapungufu ya tume yetu (NEC) ni kwamba watendaji wake wote wanachaguliwa...
Ethiopia ni nchi inayopatikana mashariki ya bara la AfriKa, kwenye eneo maarufu linalojulikana kama pembe ya AfriKa( Horn of Africa) , Ethiopia ni nchi ya 12 kwa kuwa na idadi ya watu wengi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.
Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa...
Amani iwe nanyi.
Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana.
Kamala...
Ahead of tomorrow's election in #Tanzania, we're seeing some blocking and throttling of Twitter. #TanzaniaDecides2020 Internet shutdowns are hugely harmful, and violate basic human rights and the...
Waziri wa fedha Dkt. Mpango amewataka watumishi wote wa Hazina kuwa makini zaidi kwa sababu fedha nyingi za serikali bado zinapotea kwenye miradi inayotekelezwa kwenye halmashauri.
Dkt. Mpango...
Usitweze utu wa mtu kwa sababu ya cheo au nafasi ulioko maana alie kupa wewe ndie amewanyima wale na sio aliwanyima kwamba hawafai lahasha alikupa tu wala ukimuuliza why alikupa atakujibu neno...
Yani kabisa wewe ni Muafrika na unapiganiwa na beberu ili uwe Rais? Utapingwa na Waafrika wote popote duniani walipo. Hivi mnaona hata wale diaspora aliokuwa anawahutubia Lisu akiwa Ulaya...