Nawashauri CHADEMA wajiunge na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawashauri CHADEMA wajiunge na CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mpyonko, Nov 27, 2017.

 1. mpyonko

  mpyonko JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 334
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....

  Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.

  Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipokubali kubadilishana Slaa kwa Lowasa.

  CCM wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadilishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.

  Na Lowasa wakati wowote anarudi CCM, jiongezeni kumbukeni ya Mrema.

  Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki!
   
 2. NAREI

  NAREI JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2017
  Joined: Mar 10, 2017
  Messages: 964
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 180
  Mkuu you are perfect!
  Sioni siasa za upinzani kwa sasa zaidi ya maigizo.
  Siasa za upinzani zilikuwepo 2015 kurudi nyuma, kilichobaki kwa sasa ni kila mtu kutafuta kick.
  Ila uvumilie matusi mkuu za jamaa wa upande wa pili.
   
 3. i

  issantiley Member

  #3
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 23, 2017
  Messages: 66
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  Wapinzani leo mtandaoni tunapumua hali yao mbaya baada ya kipigo cha bao 42 kwa 1 hayo ndiyo matokeo ya kukubali kuwa wanafiki Kwa watanzania, hatuna utani ukiteleza tu umeliwa
   
 4. u

  uhurubado JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2017
  Joined: Mar 25, 2007
  Messages: 349
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Waoneeni huruma jamani hao washindani, naona nyuzi za kuwazodoa zinazidi kuongezeka.
   
 5. Detective J

  Detective J JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 17, 2016
  Messages: 2,377
  Likes Received: 2,209
  Trophy Points: 280
  Niliwaonya watu kuwa mbowe alimake one bad mistake ya kumkaribisha El na kumtangaza kuwa mgombea haraharaka.

  CCM waliweka mtego na chadema ikategeka. El was a trap
   
 6. mpyonko

  mpyonko JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 334
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Nilishatukanwa sana wala siogopi lkn hatuna wapinzani Tz tuna wachumia tumbo akina Mbowe ndiyo maana walimuuzia Losama chama kwa bilioni kumi...Trust me Lowasa yupo Chadema lakn moyo upo Ccm soon utaona anarudi nyumbani
   
 7. mpyonko

  mpyonko JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 334
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Wana uwezo mdogo sana. Yaani wajiandae watapigwa kila uchaguzi
   
 8. Cajojo

  Cajojo JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2017
  Joined: Jun 16, 2017
  Messages: 2,465
  Likes Received: 2,267
  Trophy Points: 280
  Bahati nzuri nimestaaafu ushabiki wa siasa za hii nchi
   
 9. kidamva

  kidamva JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2017
  Joined: Dec 3, 2013
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,433
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu, hakuna siasa za upinzani tena, zimebaki siasa za mapanga visu, utekaji, maiti kuokotwa baharini, kamata kamata na uchuro mtupu was CCM
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,575
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  In my dead body!!
   
 11. likandambwasada

  likandambwasada JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2017
  Joined: May 27, 2015
  Messages: 3,657
  Likes Received: 3,580
  Trophy Points: 280
  Mshauri na mkulu aache upinzani wafanye siasa zao kwa amani nchi nzima
   
 12. O

  Opyempye Nchee JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 19, 2017
  Messages: 209
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Hii ni aina ya biashara ambayo iliwahi kufanyika miaka mingi iliyopita ktk Mkoa wa Shinyanga ambapo Msukuma alibadilishana Almasi(Diamond) na nakupewa Guroli kwaajili ya kuchezea bao dhidi ya Mzungu huko Mwadui
   
 13. mpyonko

  mpyonko JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 334
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Hahaha!
   
 14. o

  olyanu JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2017
  Joined: May 30, 2017
  Messages: 1,295
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Nonsense. Hivi nyie mnadhani huyo Mungu ni wa kwenu tu? Ukitaka kumjua Mungu jinsi alivyo kwamba ni wa wote nenda kamuulize Farao siku ni kutaka huko mbinguni. Pharaoh has a very interesting tale to tell you
   
 15. O

  Opyempye Nchee JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 19, 2017
  Messages: 209
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Lowasa hana cha kupoteza, kwanza amekula Chumvi nyingi(Umri umesonga), ameitumikia Ccm zaidi ya Miaka 40 ambapo ni zaidi ambavyo ataitumikia Chadema, ameshika Nyadhima muhimu na adhimu/Uwaziri/Uwaziri Mkuu, kwa ujumla ni Used & tired hivyo hakuna jipya analopambania ila anajaribu kama ataweza na kama hatashindwa si tatizo kwake hivyo hana commitment na sacrifice kwa anachopambania bahati mbaya akaungana na wa2 wenye dream na uchu wa kushika Dora, ila wenye mtizamo tofauti

  Timu ya mpira usajili damu Changa sio Veteran hata kama uliwahi kuwa bora ktk ulimwengu wa Soka

  Lowasa ni Veteran wa kisiasa kama alivyo Mugabe, mwai kibaki, kikwete
   
 16. M

  Mkwaruu JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2017
  Joined: Mar 13, 2017
  Messages: 1,839
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Huu tunacheza nao kwa kuwa tasisi za kimataifa hazipo ila uchaguzi mku sio kama unavyofikiria mku dunia ina mulika tena inawezekana ndo utatuletea mstakabali wa nchi. Na chadema sio wepesi kama unavyofikiria kumbuka dola imefanya kazi kubwa sana kwa maslahi ya muda mfupi.
  Sasa mwanachadema kujiunga na ss inawezekana tukampokea na Itikadi yake akabaki nayo hii itakuwa faida kwa nani zaidi wenye itikadi inayofanana naye
   
 17. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9,060
  Likes Received: 8,747
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona wapinzani tupo sana na wala hakuna lililotutisha kuhusu uchaguzi wa jana. Shida mnakimbia kwenye nyuzi tunazonyoosha maelezo mnakuja kuanzisha uzi mwingine mnachangia wenyewe tukitia timu mnatokomea. Uchaguzi wa jana ulikuwa na matokeo ya kumfurahisha rais hakuna zaidi ya hilo.
   
 18. L

  LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 344
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  kwa tume hii inayoteuliwa na mwenyekiti wa chama ni ndoto.ccm inatumia vyombo vya dola ili kushinda uchaguzi...
   
 19. mpyonko

  mpyonko JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 334
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Haya ni maneno ya mkosaji
   
 20. mpyonko

  mpyonko JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 334
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Sijui kama wanaweza kukuelewa hapa
   
Loading...