Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia uwezo wako binafsi kuhakikisha unatimiza ndoto za maisha yako.
Vijana wengi wamekuwa wakipoteza dhamira zao za mafaniko kisa tu kushindwa kutumia kipawa walichonacho badala yake wanasubiri kutumia mawazo ya mtu mwingine haijalishi ni mazuri ama mabaya katika kufanya jambo fulani ila watapoona mtu mwingine amefanya jambo fulani utakuta yeye naye anafanya jambo hilo kwa kukurupuka
Labda wengine watajiuliza "which are my natural abilities? And how to determine if these/that are my natural abilities?"
Nikweli sio jambo rahisi kihivyo ila chamsingi penda kutumia mawazo yako binafsi katika kufikia malengo yako yaani kabla ya kufanya jambo itakupasa kujua jambo lipi umekuwa ukiliwaza kulifanya kwa muda mrefu lakini umekuwa ukisita kulifanya sasabasi jaribu kushirikisha wazolako wadau wako wa karibu ambao utaona nao wanamazo bora na wanasiri za kuweza kuficha mambo yako.
Kwasababu ya muda kuwa ni mchache nitakuja na andiko kamili ilikusaidia hasa wale waliokatamaa ama waliokosa mwelekeo mzuri wa maisha yao ili waweze kufikia malengo waliokuwa wakiyatamani kwa muda mrefu bila mafanikio.
Nawaasa tuendelee kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka huku Mungu tukiwa tunaomba mema toka kwa Mungu najua atatusaidi.