Uchaguzi 2020 Zipo dalili za CCM kupita ktk msukosuko mkali sana

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,571
2,000
Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.

Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.

Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.

Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.

Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.

Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.

Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.

Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.

Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.

Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi

Update
Leo tarehe 01/06/2020 Rais wa jamuhuri ya muungano amekaguwa ukumbi utakao tumika kufanya vikao vya kumpitisha mgombea Urais na wabunge nakusema maneno ambayo kwa mwenye akili anaweza elewa kilichonyuma ya pazia kaz imeanza

Update
Membe kuchukua form j3 tarehe 22.06.2020 nakusema katiba ina mruhusu ikumbukwe ccm walitunga sheria kumpitisha Magu bila kupingwa ktk awamu ya pili na pia uwenda pasiwepo mgombea mwingine ila Membe na Magu. Hii ni moja ya vita kali ndani ya chama inayoweza hata poteza uhai wa watu kwa mshituko wa moyo au vile tusivyo juwa.
Vita hii ya makundi mawili ni moja ya vita mbaya yakijasusi ndani ya chama kuwahi tokea tangu chama kuzaliwa. Ila as I told you itabadilisha mwenendo mzima wa chama na siasa za Tz. Why? Ask who is behind Membe?
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,563
2,000
Sahihi kabisa mkuu...

Niliweka uzi humu..kuwa hakuna Mwenyetiki/kiongozi mwenye nguvu kuishinda CCM,ni Mwl. Nyerere tu ndiye aliyejaribu uwezo huo.

CCM ni zaidi tuinavyo huku nje,muda wowote wanaweza fanya jambo likaishangaza dunia. Hata Mwenyekiti wa sasa hayupo salama kuishinda CCM.

Moderators kwa fitina zao wakaufuta.
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,201
2,000
Unapotaja CCM uelewe kwamba unataja Taasisi moja Imara Sana balani Africa na Duniani, Chama kile kinamfano wa Cobra, kinauwezo wa kujitoa Gamba inapobidi na kuendelea kung'aa tena

Elewa Sana na usilipuuze Hilo mkuu, sio Vyama Vyama vya kipumbavu, Vyama vinavyoweza kudhibitiwa na mtu mmoja na vikakosa mbadala,
 
Data Manager

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
3,356

Nakubaliana na ww kwenye hili
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,039
2,000
Punguza hacra kunywa maji kisha mtafute yule bb kizee akufundishe kuandika co unakuja posho ya bure tu hapo
Unapotaja CCM uelewe kwamba unataja Taasisi moja Imara Sana balani Africa na Duniani, Chama kile kinamfano wa Cobra, kinauwezo wa kujitoa Gamba inapobidi na kuendelea kung'aa tena

Elewa Sana na usilipuuze Hilo mkuu, sio Vyama Vyama vya kipumbavu, Vyama vinavyoweza kudhibitiwa na mtu mmoja na vikakosa mbadala,
 
nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
2,467
2,000
Huu ndio tunaita uvumilivu wa kisiasa, ni CCM tu ndio unaweza kukuta wanachama wake wanaijadili kwenye mitandao bila jaziba na kukashifiana.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
150,180
2,000
Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.

Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.

Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.

Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.

Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.

Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.

Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.

Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.

Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.

Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.

Jr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom