Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mikakati ya CHADEMA ni kuhakikisha wananchi wanakiunga mkono kama wanavyofanya kwenye tonetone. CCM wao wanakata viuno vya kisiasa kwa kumparula Nchimbi kuwa anataka uraisi 2030. Hii inaonyesha...
1 Reactions
0 Replies
61 Views
Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, wananchi wa Wilaya ya Maswa wamepokea kwa masikitiko taarifa ya kuahirishwa kwa ziara yako. Wengi walikuwa na...
1 Reactions
2 Replies
61 Views
Muda wa kifo ukifika hata mgonjwa hufahamu kuwa ni wakati wake wa kufa, na ndiyo maana wengi hutumia muda huo kutoa wosia kwa familia yake. Magonjwa huibuka mengi mengi tu mara apone. Mara...
5 Reactions
7 Replies
138 Views
Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
7 Reactions
107 Replies
1K Views
Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa ya Baba yenu,Mtakatifu wenu,Mwenyeheri Nyerere. Daima Wazanzibar wapo sahihi kujivunia Uzanzibari...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu...
6 Reactions
19 Replies
394 Views
Taarifa kwa UMMA Kuhusu Uandaaji wa Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Kuongoza Mchakato wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa* Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) inapenda...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira...
7 Reactions
14 Replies
225 Views
My Take Hii imeniuma na kumikasirisha sana Kwa sababu makosa yanayoitwa umuhimu Uchumi hayawezi kuwa mkaa na miti asili au wanyamapori. Ni vyema uhujumu Uchumi uwe ni makosa serious sio haya...
3 Reactions
32 Replies
585 Views
Wakuu, Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo...
29 Reactions
65 Replies
3K Views
1WAFAMLE 21:17-19 Neno la Bwana likamjia Eliya Mtishbi, kusema, Ondoka, ushuke, ukutane na Ahabu mfalme wa Israeli, akaaye katika Samaria; yuko katika shamba la mizabibu la Nabothi, ndiko...
2 Reactions
17 Replies
231 Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Godbless Lema ameandika; Bwana Kitila Mkumbo!! Taifa halifi kwanza kwa kukosa rasilimali, hufa pale watu wake wanapoanza kuogopa kutumia akili zao. Kuna...
5 Reactions
12 Replies
167 Views
Ugaidi wake unatajwa kuwa ni kurekodi eneo la Kariakoo na kuonyesha kuwa hakuna watu na Maduka yamefungwa (ambayo ndio hali halisi ya siku ile) Hayo yamesemwa na Wakili Dickson Matata na amemtaja...
24 Reactions
65 Replies
2K Views
Ni kwasababu huwa wanaogopa aibu ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi au wanakua hawana agenda zenye ushawishi kwa wananchi, au mgombea hua haaminiki wala hakubaliki miongoni mwa jamii? Je, kuna...
4 Reactions
59 Replies
370 Views
Rostam kupitia Taifa gas anajenga LPG terminal mombasa ambayo ni kubwa east ila hii inadhihirisha tabia ya matajiri wa kihindi kuvuna utajiri Tanzania na kwenda kuwekeza nchi nyingine.
7 Reactions
66 Replies
1K Views
https://youtu.be/Uh_BmX-vR54
7 Reactions
10 Replies
356 Views
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako? Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje? Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini...
39 Reactions
70 Replies
1K Views
Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa...
3 Reactions
1 Replies
134 Views
Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa maombi madogo ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA Agosti 28, 2026 saa tisa alasiri. Maombi hayo...
0 Reactions
4 Replies
161 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiuzungumzia msemo wa "tell the truth and the truth will set you free", Tanzania tumefikishwa hapa na viongozi wanao chelea...
9 Reactions
21 Replies
298 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…