Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 452
- 904
1WAFAMLE 21:17-19
Neno la Bwana likamjia Eliya Mtishbi, kusema,
Ondoka, ushuke, ukutane na Ahabu mfalme wa Israeli, akaaye katika Samaria; yuko katika shamba la mizabibu la Nabothi, ndiko alikoshukia ili alitamalaki.
Ukamwambie, ukisema, Bwana asema hivi, JE! UMEUA, ILI UKATAMALAKIi? Nawe utamwambia, kusema, Bwana asema hivi, Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba na damu yako, naam, damu yako.
Alie karibu na mfalme Ahabu atusaidie kumuuliza ameua ili ukatamalaki?!!!