Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,747
2,000
Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.

Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk.

Ni kama vile BAWACHA imehamia Bungeni.

Hongereni akina Mama wa CHADEMA kwa kujipendelea.

Maendeleo hayana vyama!
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
30,551
2,000
Wewe unaijua katiba ya Chadema kumzidi Halima James Mdee?!
Mimi kuijua katiba ya chadema kumpita Halima Mdee au kutokuijua katiba ya chadema kumpita Halima mdee haitaondoa kifungu cha sheria cha katiba ya chadema kinachoipa mamlaka kikao cha kamati kuu ya chama kuteua na kupitisha majina ya viti maalum.

Nakuuliza tena,je kuna kikao cha kamati kuu ya chama ambacho kilikaa kuteua na kupitisha majina ya viti maalum?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,747
2,000
Mimi kuijua katiba ya chadema kumpita Halima Mdee au kutokuijua katiba ya chadema kumpita Halima mdee haitaondoa kifungu cha sheria cha katiba ya chadema kinachoipa mamlaka kikao cha kamati kuu ya chama kuteua na kupitisha majina ya viti maalum.

Nakuuliza tena,je kuna kikao cha kamati kuu ya chama ambacho kilikaa kuteua na kupitisha majina ya viti maalum?
Katika dunia hii ya sayansi na teknolojia itakuwa kilikaa maana hao wabunge wateule wote ni wajumbe wa kamati kuu!
 
Sep 8, 2020
19
45
Nilidhani yale majina ya wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.

Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk nk.

Ni kama vile BAWACHA imehamia bungeni.

Hongereni akina mama wa CHADEMA kwa kujipendelea.

Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo hayana chama tupige kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom