Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siasa za Tanzania ni za aina yake ambazo zinaweza kukupa matumaini ambayo hayapo kama huzijui vizuri. Siasa za Tanzania ni kama upepo unaopita ambao hauna madhara yoyote kwa wanaozijua vizuri...
18 Reactions
77 Replies
7K Views
Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya Jangwani mara...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima. Mungu endelea kumbariki na kumtangulia. Wote tuseme Ameni. Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
30 Replies
5K Views
1.Nendeni mkasikilize matatizo ya ya wananchi na mkayafanyie KAZI Kwa unyenyekevu mkubwa. 2. Mtangulizeni Mungu na masilahi ya Taifa huku mkiongozwa na katiba na sii vinginevyo. 3. Mtengenezeeni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Zamani makongamano ya pale nkrumah hall udsm yaliyohusu siasa na maendeleo ya taifa yalikuwa yalikuwa na mvuto kwasababu yalikuwa huru na yasiyo na propaganda Kama ilivyo Sasa. Naangalia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana...
5 Reactions
58 Replies
9K Views
Hivi sasa mtanzania unaweza kujihesabu kuwa wewe ni mwanachi huru? Labda tutazame tafsiri ya HURU. Kuwa huru maana yake ni kuweza kuongea maoni yako bila ya kuwa na wasiwasi na utawala au watu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nampongeza Mh Rais kwa baraza zuri la mawaziri. Baraza lina sura mpya, Vijana wengi na wasomi. Naamini kasi ya kazi na utaalam utakuwa na nafasi kubwa sana katika serikali hii mpya. Rais ateue...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam amepania kuanzisha kanzi data ya ndoa zote ndani ya mkoa ili kuwanusuru wanawake wanaotapeliwa kimapenzi na kudanganywa kwamba wataolewa na kuishia kutumika tu bila...
2 Reactions
212 Replies
20K Views
Mbunge wa Muleba kusini Prof Anna Tibaijuka leo tarehe 3, April 2020 wakati akichangia bajeti ya Waziri Mkuu ameliaga Bunge na kutangaza rasmi kuwa hatagombea tena ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu...
28 Reactions
144 Replies
24K Views
Mimi inaniwia vigumu sana kuamini kwamba viongozi wa vyama vyetu vya upinzani wana uwezo wa kujifunza kutokana na makosa yao ya nyuma. Wangekuwa na huo uwezo, leo hii CHADEMA wasingekuwa...
4 Reactions
110 Replies
9K Views
Leo wakati akichangia hoja bungeni , mbunge wa jimbo la Rombo kupitia Chadema Joseph Selasini amemlalamikia Mh Spika kuwa wabunge wa Chadema wameunda group la whatsap ambalo yeye hayumo! Mbunge...
13 Reactions
255 Replies
26K Views
Ukiangalia nchi nyingi zilizo endelea zilitegemea rasilimali, yaan zilitumia rasilimali vizuri ndo zikaendelea hazikutisha wanaanchi wake mzigo wa makodi Kama zifanyazo nchi za Afrika Nchi za...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu! Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia. Baadaye aliendelea kuwa...
24 Reactions
147 Replies
19K Views
Kuna watu wenye maoni tofauti kuhusu hali ya kiuchumi ya Tanzania. Kuna wanaofikiri kwamba uchumi wetu kama taifa unayumba na kuna ambao wanasema kwamba uchumi unakua. Katika hali ya kawaida...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari, Inaweza kuonekana kama naota hivi ila amini usiamini kwa utawala huu hili linaweza kwenda kutokea wote mkabaki mnashangaa. Hivi mnafikiri Mr Polepole ni wa hadhi ya kuwa mbunge tu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Watu wanajadili kukosekana kwa Makonda, Kigwangala, Nape, Gambo kwenye baraza la Mawaziri wanashindwa kujua hata January hayupo. Je, January hakustahili, Hana sifa au mzee ameona kwamba akimpa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu wana jukwaa salam, Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo. Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse...
8 Reactions
92 Replies
8K Views
Rais wa Zanzibar yupo na Mtizamo tofauti kuhusu Zanzibar, pamoja na kwamba anajua aliingia kwa njia zenye vitendo vya kidemokrasia bado anatambua kwamba bila Zanzibar moja hakuna maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…