Kamuulize Mwigulu Nchemba na SamiaNaomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Jambo la mchongo ni la mchongo tu. Halikosi matobo na inconsistencies!Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Huo wimbo siyo wa Wakatoliki. Hao wakatoliki wa mchongo hawajuiNaomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Hahahaha....njaa mbaya sana,hawa Jana walisali Dominika kweli?
Hii kule CCM wanaita kumsaidia Mama,kumbe ndio wanakoseaNchi imekuwa ya kiduwanzi kinoma yani,sasa ni kitu gani hiki?
Picha la kihindi linachezwa hapoWimbo wa walokole tangu lini ukaimbwa na wakatoliki 🤣 kudanganya kazi sana, bora wangetafuta hata wimbo mmoja wa Bikira Maria 🤣 Very stupid people
Wimbo wa walokole tangu lini ukaimbwa na wakatoliki 🤣 kudanganya kazi sana, bora wangetafuta hata wimbo mmoja wa Bikira Maria 🤣 Very stupid people
"Ila huyu Mungu" kivip sijaelewa hapaTatizo Washiriki wa igizo wasinge weza kushika nyimbo za katoliki
ila huyu Mungu 😃
Ngoja niendelee kukua✍️✍️Hivi hizi gharama na upuuzi wa kumobilize na kufanya kampeni hizi zisizo na tija kwa watanzania, Ni kwa gharama za kodi za watanzania??
Najiuliza pia hayo maandamano sijasikia habari ya kibali ..Hahahaha....njaa mbaya sana,hawa Jana walisali Dominika kweli?