Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naamini Serikali ya CCM hasa ya bara itakuwa imenuna kwa taarifa za kiongozi mkubwa kama maalim kuumwa Corona kutoka public Kwa saikolojia ya Rais Magufuli ambaye yeye hataki kabisa kusikia...
12 Reactions
63 Replies
7K Views
Halo JF siasa. Wimbi la wasanii kuonesha vipaji vyao vya uongozi linazidi kujidhihirisha. Kuna habari za chini ya kapeti kuwa mrembo wa haja nchini, Hamisa Mobeto anataka kuwaakilisha...
3 Reactions
90 Replies
9K Views
The UK has banned people travelling from 33 countries from entering its territory starting February 15 to prevent the spread of the Covid-19 variant originally identified in South Africa. “If you...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Naibu Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema bidhaa zote za kigeni zinazoingia nchini zitafutiwe utaratibu wa kutafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili. Na bidhaa ambazo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto" Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona tayari michakato ya sheria iko jikoni mahakama kuanza kutumia Kiswahili mwanzo mwisho tofauti na sasa ambapo dokomenti zote huwa za kiingereza sasa baada ya sheria hii hakimu au mwanasheria...
12 Reactions
140 Replies
12K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Kunenge amekagua ujenzi wa barabara ya Mwinyijuma Mwananyamala na kusikitishwa na kusuasua kwa ujenzi huo. Kunenge ameagiza Mkandarasi afanye kazi usiku na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndani humo unakuta ukumbi mdogo ila nyomi lake balaa watu wanakaribiana kabisa huku wanashushia na k vant hata kunawahi Ni hatari Sana corona inaenea kwa Kasi sehemu Kama hizo.japo bado...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si...
16 Reactions
94 Replies
9K Views
Maafisa wa manispaa ya Morogoro wamejimilikisha ’vizimba’ na kupangisha upya kwa gharama ya juu! Kwa ujumla kilichotokea Morogoro ni matumizi mabaya ya ofisi ambayo ktk serikali, yako kila sehemu...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Taifa zima lipaze sauti mpaka wanaofanya uonevu waone aibu. Kuanzia Masheikh, Maaskofu na Wachungaji, Wafugaji na Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi. Kesho kwa pamoja tupaze sauti kubwa...
24 Reactions
114 Replies
10K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya wabunge inayoendelea, wabunge wengi wanaikosoa serikali juu ya utaratibu wa ukusanyaji wa kodi kwa madai eti wafanyabiashara wanafilisika na biashara kufungwa kwa...
8 Reactions
81 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikiangalia hapa Tanzania namna ambayo viongozi wetu wakiongozwa na Mh Rais wanavoipiga vijembe lugha ya Kiingereza huku wakisisitiza tupende lugha yetu ya Kiswahili, huku...
40 Reactions
145 Replies
13K Views
TBC leo imerusha kipindi maalumu cha kumuenzi aliyekuwa Msimamizi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Injinia Kamuhaba aliyefariki January 19 katika hospitali ya muhimbili baada ya kuugua kwa muda...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Business mogul Rostam Aziz, one of the Tanzania’s most successful businessmen, has built a $65 million liquefied petroleum gas (LPG) storage and filling facility in Dar es Salaam, Tanzania...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu wa Wilaya hujinasibu kumwakilisha rais lakini baadhi ya watu hawa ni balaa. Nimesimuliwa anayoyafanya mkuu wa wilaya ya Ukerewe, yanasikitisha. Tangu Mkuu huyu wa Wilaya amepelekwa wilayani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kabisa kabla sijashusha nondo niweke wazi kuwa mahakimu wengi huwa wanatumia mwanya wa uhuru walionao kisheria kutoa adhabu kupendelea watu. Ni wazi kuwaa Halima Mdee na wenzake walifanya...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
TOKYO - Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan imetoa onyo kusitisha au kuahirisha kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu ya hali mbaya ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus. ========= Japan warns...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Wana Jf leo mbunge wa Morogoro mjini amebagazwa vibaya sana,kama ni mtu una roho ndogo basi mpaka wakati huu angekuwa ameandika barua ya kujiuzulu. Maana hata kama ni kupeana makavu sio kwa namna...
32 Reactions
72 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…