Rais Dk. John Magufuli leo Jumamosi Desemba 7, anaweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi lenye urefu wa kilomita 3.2 katika Ziwa Vitoria litakalounganisha Mkoa wa...
Vyama vya siasa vya upinzani Mkoa wa Arusha vimetoa pole kwa familia ya Hayati Rais John Magufuli kwa kumpoteza mpendwa wao ,familia sanjari na watanzania kwa ujumla huku vikimtaka rais wa Sasa...
HONGERA MAMA SAMIA, LIUNGANISHE TAIFA
Taarifa ya Kaimu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa Juu ya Kuapiswa kwa Mama Samia Suluhu Hassan Kushika Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia...
Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa mkoa mmoja nyanda za juu kusini nilikuwa mwana maombi upande wa UKWATA.Kipindi Fulani wana maombi walikubaliana kufanya mfungo wa takribani siku 30 huku wakiomba Mungu...
Ndugu zangu,
Mimi sio mtu wa hotuba ndefu zisizo na mashiko na wala sipendi kumchosha mtu na waraka mrefu usio na tija.
Kwa leo ninaomba kupata majibu ya maswali yangu haya;
1. Mh Godbless Lema...
Ndugu zangu!
Hebu kwa pamoja tupitie hiki kiapo hapa chini:
“Mimi Samia Suluhu Hassan, naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nitalinda na kuitetea Katiba ya...
In this interview with Professor Patrice Lumumba, a former Director of Anti-Corruption Commission in Kenya and the Director of the Kenya School of Law, he discusses the challenges of fighting...
Ninaamini sifa anazopewa Magufuli hazitamfanya awe na kiburi au majivuno bali zitamnyenyekeza zaidi kwa Mungu kwa maana si yeye anayefanya Bali Mungu kupitia yeye tunamuombea ajishushe zaidi ili...
BITEKO: RAIS MAGUFULI ANATAMANI KUONA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI KINAANZA KAZI
Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatamani kuona kiwanda cha...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amewataka wakazi wa Mkoa huo kushiriki kwa wingi kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.
Amesema watakaoshindwa...
Tumehangaishwa sana na ugonjwa wa Rais.
Mimi fikra yangu ni kuwa watu wangalijua kuwa Rais anaumwa kwa kutaarifiwa wasingefanya zogo walilofanya mitandaoni.
Mtandao una manufaa lakini maudhi...
TUMUOMBEE RAIS AU TUMHURUMIE?
Na Elius Ndabila
0768239284
Juzi Mh Rais akiwa mkoani Kagera alitoa maagizo kwa mkoa wa Dar es salaam juu ya video iliyokuwa mitandaoni ikionyesha moja ya shule...
Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Dkt John Magufuli hapo Machi 17.
Rais Samia anakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania...
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani...
Mabibi na mabwana ushauri wa bure kwa mama yetu mpendwa Mama Samia.
Salamu tokea kwa mh. rais popote alipo tumezipokea. Muhimu naye akatufikishia zetu kwake mzee baba.
Hapa tulipo misingi ya...
Nafikiri Mama Samia anapaswa kuwaondoa hawa kutoka Baraza la Mawaziri na asitishe pia kazi walizoelekezwa na Hayati Magufuli kuzifanya.
Tunafahamu msukumo wa kutaka Sheria ziandikwe Kiswahili ni...
Mkuu wa Majeshi Tanzania jenerali Venance Mabeyo akiwa na Mwenyeji wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika La Reli Tanzania katika kipande cha kwanza kilichotandikwa cha Reli ya kisasa -SGR kwenye Ziara...
Ni dhahiri kuwa kwa sasa Rais John Pombe Magufuli anajionyesha kuwa katika uongozi wake,suala la majanga na uhai wa wananchi wake hayana vipaumbele.Kwake ni pesa na kuona uchumi unakuwa.Rais wetu...
Wiki hii wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Maliasili na Utalii, Mbunge wa Vunjo, mkoani Kilimanjaro, James Mbatia, ambaye ni Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, alimtuhumu Rais John...