Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwakuzingatia katiba na sheria inayosimamia mazishi ya viongozi na kwakuepuka uvunjifu wa sheria nchi yetu ilipashwa kufanya yafuatayo kabla yakufanya mazishi ya Hayati Mhe. John Pombe Magufuli...
11 Reactions
47 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri. Updates; Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi...
7 Reactions
159 Replies
20K Views
Inasambaa sana na kwa kasi mitandaoni. Inasemekana imeandikwa na M/kiti wa mtaa wa Mwenge, Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni DSM. Uandishi wenyewe ni wa kibabe na usio na weledi hata chembe...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Tuishi kwa wema maana dunia tunapita. Tuache unafiki tuwe wakweli tudumishe upendo na utu tuwe watu wa haki, tuache kiburi, ubabe, ulevi wa madaraka na kujikweza maana duniani tunapita. wengi...
13 Reactions
22 Replies
2K Views
Uhusiano wa Uingereza na Tanzania ulianza rasmi 1919 wakati wa mkutano wa Versailles Peace Treaty ambapo iliamriwa kuwa Tanganyika itakuwa chini ya Mwingereza ili kuiandaa Tanganyika kupata uhuru...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum. Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma...
16 Reactions
108 Replies
16K Views
Leo chama cha mapinduzi kimetoa taarifa rasmi ya kifo cha Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo imesomwa na Humphrey...
13 Reactions
144 Replies
20K Views
Nahuzuni moyoni mimi siimbi nalia, Ulituahidi mengi, binafsi nayalilia, "Hapa kazi tu!" ndio kauli uliyotuachia, kwa bidii tulijituma, na mengi tuliachilia, Ulitufundisha uzalendo, kazi kwanza...
1 Reactions
5 Replies
886 Views
Nakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki. Hivyo basi mkutano mkuu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hayati baba wa Taifa alipong'atuka na kuliacha hili taifa mikonononi mwa warithi wake kwa namna alivyokuwa hapendi rushwa,ubadhirifu na uzembe hakuna mtu aliyetegemea kuwa litakuja kugeuka kuwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunaendelea katika tafakari maombolezo tukingoja kumuhifadhi Mkuu wetu. Tayari andiko limetimia mwanadamu uuu mavumbi na mavumbini utarudi. Mimi wewe Mkuu tutasimama kizimbani kwa mwenyezi Mungu...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Tupo kwenye maombolezo kwa muda wa siku 21 kutokana na kifo cha mpendwa wetu Hayati J.PM. Mengi yanasemwa kuhusu kifo chake, hata mwenyewe alisema kifo ni kifo, kiwe cha kansa, changamoto ya...
0 Reactions
4 Replies
627 Views
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja...
7 Reactions
92 Replies
6K Views
Askofu Mkuu wa Mwandamizi wa Dar, amesema Rais Magufuli alikuwa mtu wa Haki na Imani. Akitafsiri kuwa mtu mwenye Haki ni yule anayewapa watu mastahili yao Amesema Rais Magufuli alimpa Mungu...
10 Reactions
66 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Rais Samia amepomtembelea...
23 Reactions
257 Replies
40K Views
Rais kazungumza kuwa "Ni nchi hii tu ambayo mtu amepata div 4 alafu unakwenda chuo kikuu, alafu anasimama mwanasiasa anasema wasome tu." Ameyasema hayo katika hafla ya tuzo za Rais kwa...
17 Reactions
637 Replies
136K Views
Habari na poleni sana kwa msiba. Niseme tu kwamba wengi wanaweza kusema mengi kuhusu Msiba huu ila mimi naweza kusema Jambo Moja. Maisha ni zawadi, tuyaenzi. ujifunze kutoka katika maisha ya...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Hongera Jembe na comrade wa kweli jasiri JPM !! Mimi ni diehard /hardcore fan wa Rais John Pombe Magufuli ije mvua ya mawe lije jua la kiama!! Nafurahi kupata uwanja huu adhimu wa JF kuendelea...
15 Reactions
78 Replies
5K Views
Asante Mungu wa mbingu na nchi, asante kwa zawadi uliyotupatia kwa kutupa JPM japo kwa kipindi kifupi. JPM ametusaidia kuweka viwango vya kuwapima kwa wataokuja baada yake. Alipambana vikali na...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…