Mara baada ya kifo cha ghafla cha aliekuwa Makamu wa Rais wakati huo Dr Omary Ally Juma.
Aliteuliwa Dr Mohamed Shein kushika wadhfa huo...mnakumbuka ilikuwaje?
Alipigiwa kura bungeni?
Au...
Habari zenu wanajukwaa,
Nianze kwa kuwapa pole wanajukwaa wenzangu kwa msiba huu mzito wa Rais wetu mpendwa JPM.
Leo acha nisimulie namna ambavyo nilimfahamu JPM kuwa ni mtu asiye na upendeleo...
Kwa wazee wa umri wangu wataelewa maana halisi ya mtu kuwa mserikali. Kwa vijana niwasaidie kuwa mserikali Ni mtu aliyekula kiapo chakiutumishi kinachomtaka wakati wote kuitii na kuitetea serikali...
Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano
Hapo inabidi...
Kwa ufupi sana
Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.
Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa...
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar...
Heshima kwenu wakuu.
Huyu mkuu wa Wilaya ya Hai alienda kuharibu shamba la mbunge wa Hai Mhe. Mbowe tena aliliharibu kwa mbwembwe mbele ya Camera za Video, Sasa leo analalamika nini?
Jana...
Kutoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari viongozi wa kiserikali na Chama cha Mapinduzi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Mwanza na mikoa jirani wameshaanza kuingia kwenye uwanja huu...
Hahaaaa haaaaaa Tanzaniaaaaa
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi bwana Mwigulu Nchemba anadai kuwa taasisi yoyote (NGO) itakayotetea au kupingana na amri ya rais ya kuwaruhusu watoto watakopata...
Jana usiku nimeambiwa na mtu kama story tu kuwa
1... " Kuna jamaa amepatikana na ugonjwa wa corona pale Aga Khan hospital "
2. "Leo asubuh kwenye mishe mishe kariakoo nmemkuta mtu akisimulia...
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea"...
Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia
Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa
Kama yupo kwa ajili...
Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na...
Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya Madawa ya Kulevya Mdude Nyagali kesho tarehe 25/3/2021 atafika Mahakamani , ambako ataanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili za madawa ya kulevya
Wote mlioko...
Wakati Watanzania wanajiandaa kwa shauku kubwa kuishi ndani ya utawala wa Rais wa JMT ambaye ametokea kuwa mwanamke, kuna majadiliano mengi yanaendelea huku na huko.
Baadhi ya majadiliano haya...
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo?
Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga...
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi...
Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au...
Taarifa nilizonazo ni kwamba leo saa 1:30 asubuhi, baada ya mitandao kupiga kelele na magazeti kuandika habari za serikali kumtisha Askofu Severine Niwemugizi, JPM amempigia simu na kum-sweet...