Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na...
7 Reactions
86 Replies
8K Views
Mara baada ya kifo cha ghafla cha aliekuwa Makamu wa Rais wakati huo Dr Omary Ally Juma. Aliteuliwa Dr Mohamed Shein kushika wadhfa huo...mnakumbuka ilikuwaje? Alipigiwa kura bungeni? Au...
5 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari zenu wanajukwaa, Nianze kwa kuwapa pole wanajukwaa wenzangu kwa msiba huu mzito wa Rais wetu mpendwa JPM. Leo acha nisimulie namna ambavyo nilimfahamu JPM kuwa ni mtu asiye na upendeleo...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wazee wa umri wangu wataelewa maana halisi ya mtu kuwa mserikali. Kwa vijana niwasaidie kuwa mserikali Ni mtu aliyekula kiapo chakiutumishi kinachomtaka wakati wote kuitii na kuitetea serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano Hapo inabidi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa ufupi sana Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS. Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
  • Closed
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar...
6 Reactions
77 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu. Huyu mkuu wa Wilaya ya Hai alienda kuharibu shamba la mbunge wa Hai Mhe. Mbowe tena aliliharibu kwa mbwembwe mbele ya Camera za Video, Sasa leo analalamika nini? Jana...
40 Reactions
249 Replies
32K Views
Kutoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari viongozi wa kiserikali na Chama cha Mapinduzi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Mwanza na mikoa jirani wameshaanza kuingia kwenye uwanja huu...
8 Reactions
139 Replies
15K Views
Hahaaaa haaaaaa Tanzaniaaaaa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi bwana Mwigulu Nchemba anadai kuwa taasisi yoyote (NGO) itakayotetea au kupingana na amri ya rais ya kuwaruhusu watoto watakopata...
15 Reactions
155 Replies
14K Views
Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar. ==== MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao...
9 Reactions
227 Replies
23K Views
Jana usiku nimeambiwa na mtu kama story tu kuwa 1... " Kuna jamaa amepatikana na ugonjwa wa corona pale Aga Khan hospital " 2. "Leo asubuh kwenye mishe mishe kariakoo nmemkuta mtu akisimulia...
8 Reactions
95 Replies
19K Views
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea"...
52 Reactions
236 Replies
22K Views
Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya Madawa ya Kulevya Mdude Nyagali kesho tarehe 25/3/2021 atafika Mahakamani , ambako ataanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili za madawa ya kulevya Wote mlioko...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakati Watanzania wanajiandaa kwa shauku kubwa kuishi ndani ya utawala wa Rais wa JMT ambaye ametokea kuwa mwanamke, kuna majadiliano mengi yanaendelea huku na huko. Baadhi ya majadiliano haya...
12 Reactions
53 Replies
8K Views
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
  • Closed
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi...
6 Reactions
107 Replies
38K Views
Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli. Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au...
10 Reactions
51 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…