jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Tulitangaziwa kwa kipindi kama miezi mitatu au minne hivi kwamba kuanzia sasa madeni ya umeme kwenye taasisi za serikali au umma yatabebwa na kulipwa na hazina moja kwamoja.
Utafiti wangu umegundua kuwa kwa kiasi kikubwa madeni hayo yamelipwa na sasa utaratibu wa kulipiwa umeme unaendelea.
Magazeti yetu hayataweza kuripoti hili....
Kuna wambea walihoji makusanyo yanatumikaje??
Kuna wana figisufigisu waliokosa hoja waliuliza ati TANESCO kushusha bei watajiendeshaje??
Na maswali meengi ya kipolisi alimradi tu tuuze sura ITV na Channel 10 ...
Sasa haya ndiyo yale ya kimya kimya yanayompa Rais Magufuli asilimia za kukubalika nyingi mbele ya watuwote mashuhuri na wasio mashuhuri.
Tunaisubiri Julai tuanze kuonja maziwa na asali hata kabla yakufika nchi yenyewe....
#HAPAKAZITU