Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Great Thinkers habari za mchana. Nimeona Ndg zetu hususan wa CHADEMA wakihangaika sana mitandaoni kujua Rais Magufuli yuko wapi. Nimeshangaa kwa kweli 'wonders will never end"! Nina maswali...
43 Reactions
207 Replies
15K Views
Habari za jioni wakuu! Naamini wengi tushaanza kukubali kuwa JPM hatuko nae tena. Ni wazi kuwa maisha lazima yaendelee hivyo nimejikuta nawaza mustakabali wa taifa letu linakoelekea. Kwanza...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakati wa marehemu, aliwapenda sana wajeshi bila kujali taaluma. Kununua korosho, waeshi. Kujenga ukuta mererani wajeshi nk. Sasa itoshe, warudi wakalitumikitumikie taifa kupitia nafasi zao...
1 Reactions
5 Replies
658 Views
Nia na dhamira ya JPM dhidi ya Tanzania haitaweza kuhojiwa popote, alidhamiria kutuondoa kwenye umaskini na alitumia mbinu zote kufanikisha lengo. Dhamira iliendana na matendo, Ni vigumu kupata...
0 Reactions
7 Replies
871 Views
Unapoongoza watu ambao wanakuzidi elimu kuna changamoto yake, unakuwa hujiamini, unakuwa mwoga na hatimaye kushindwa kufanya maamzi sahihi. Ifike mahala wafanyakazi waliojiendeleza kielimu wapewe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi. CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa. Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na...
6 Reactions
52 Replies
6K Views
Yaani watu watasimishwa, watafukuzwa wata fanywa sijui nini ila still tatizo halitaisha kamwe. Mifumo inahitaji overhaul kubwa sana. Ufanyaji kazi wa Serikali tu unavutia rushwa, na mtu...
1 Reactions
9 Replies
935 Views
Wadau habari za kazi. Naomba kujua aina za wanyama pori wanaopelekwa Chato. Pia idadi na je bado wanasafirishwa kupelekwa huko au zoezi limekwisha? Wanyama wengi wanasafirishwa au kutolewa...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini? Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote...
53 Reactions
66 Replies
7K Views
Nilijua wapinzani hasa CHADEMA wangeendelea kuisusia Serikali kwa sababu CCM ni ile ile ila Rais ndiye amebadilika, ila kila ninayemsoma humu kwenye mitandao basi anamsifia Rais na kumuomba afanye...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri Kijana Mhe. Selemani Jafo nimekusoma kuhusu taarifa ya kuwaondoa Wakurugenzi waliopata hati chafu. Nakupongeza kwa uamuzi huo ingawa naomba kukushauri yafuatayo:- 1. Kuna Majiji, Manispaa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb), leo tarehe 7 Jan, 2019 saa 7.00 mchana ataongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu kauli za kudhalilishaji Bunge zilizotolewa na Prof.Mussa Assad...
19 Reactions
1K Replies
132K Views
Job Ndugai ambaye amehudumu muda mrefu katika nafasi za juu katika nchi yetu hasa Ubunge. Akaja kuchukua tena jukumu la kuwa Spika katika Bunge la JMT kabla ya hapo alikuwa Naibu Spika nafasi...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to...
47 Reactions
249 Replies
31K Views
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad...
29 Reactions
177 Replies
26K Views
Waungwana salaam. Kwa mujibu wa katiba ikisomwa pamoja na Sheria ya ukaguzi wa umma ya mwaka 2008 Rais ndiye mwenye mamlaka ya kumteua mtanzania kuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG. Mbali...
14 Reactions
57 Replies
10K Views
Naam ni maombi yangu kwa huyu mwanasiasa (diaspora)(teh teh teh) ya kwamba Mungu ampe misha marefu ili ashuhudie matokeo ya upando wake.. Ashuhudie maamuzi ya watu wenye hekima kwa imma...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…