Katiba ya sasa haifai maana ilitungwa na WanaCCM 22 na haiwapi wananchi madaraka juu ya taifa lao baada ya uchaguzi.
Taifa letu linatakiwq liwe na katiba ambayo itawapa mamlaka wananchi kumfuta...
Ndani ya hii audio clip kuna mambo kadhaa yanayotoa picha kubwa ya kile kinachoendelea na kukemewa nchini Tanzania.
Kwanza, na kwa umuhimu mkubwa zaidi, Mafwele amekiri wazi kwamba yeye ndiye...
Viongozi wangu wa Chadema tunaomba ikiwezekana kwenye mikutano mtuwekee nyimbo za kuhamasisha ukombozi wa nchi yetu.
Nyimbo zinahamasisha sana sana. Kumbuka Afrika Kusini pamoja na kuwaua watu...
Wakuu kumbe Viwanda vinavyotengeneza Juisi huwa hawatumii matunda hata kidogo bali ni kemikali tupu, na wanatuwekea picha za matunda.
Hayo maneno yamesemwa na Mbunge Shabiby Bungeni, Mei 22...
Mei 20, Rais Samia Suluhu Hassan aliteua majaji tisa wa Majaji wa Mahakama ya Rufani na hivyo kuongeza idadi yao kufikia 49. Uteuzi huo umeibua matumaini utatuzi wa ucheleweshwaji wa kesi.
Kwa...
US kadeal na MAFWELE ,sababu alousema ni "Kuwateka akina Agatha".
Sasa Kuna wale walikua Wanapiga Vita UKRISTO, Waloua watu Okt 29, Wanaomfunga Lissu na kuanzisha vita dhidi ya DEMOKRASIA.
Na...
Wakuu,
Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu...
Unyumbu wa Kidijitali, Vita vya Kisaikolojia, na Mtego wa Hybrid Warfare dhidi ya Taifa
Kuna wakati katika historia ya jamii, taifa hufika mahali ambapo hatari kubwa siyo umasikini, siyo njaa...
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, akichangia Bungeni bajeti ya wizara ya maliasili na utalii amesema ...
"Leo hii wizara inatuambia watalii wamefikia milioni 5 na laki 3... Lakini...
Lango lake kuu pana barrier ndipo alipo ponea Msaidizi wa Tundu Lisu, msitu unaosimamiwa na TIS na kulindwa kwa zamu na askari wa kikosi maalumu kuhakikisha hakuna mtu anaingia huko kama hajatekwa...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi kutokuruhusu siasa kuingia katika maendeleo akiwasisitiza walinde miundombinu...
Rais. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma, tarehe 08 Mei, 2026 amesema matukio yaliyotokea nyuma hayakuwa na manufaa kwa mtu yeyote na yalisababisha vijana wengi kuingia...
Haiwezekan Taifa linakuanna JESHI LA POLISI ambalo badala ya Kuwalinda, limegeuka kua Kikundi cha Kigaidi dhidi ya RAIA .
Nyinyi MaCCM, MAFWELE ndo mwanzo tu Orodha ni ndeefu.
Hamuwezi kuua...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema amemuomba Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza Rio Ferdinand, asichapishe ‘Ku-Post’ kwa sasa kuwa yupo Tanzania...
Baada ya matukio ya Octoba 29, 2025, nilikuwa na hisia kwamba ‘Simba Mla-watu’ angefukuziwa mbali porini; kwa sababu uwepo wake karibu na ‘Kijiji cha Wadanganyika’ ungeweza kuchechemua tabia...
Saizi huko Bungeni Kila Mbunge analilia Barabara Kila mtu Kwa staili na Lugha yake.
Wapo wapiga sarakasi,wapo wanaotishia Shilingi,wapo wanataka tozo ziongezwe na wapo wanaosema Serikali imekula...
Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.
Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue...