mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,117
- 2,485
Lango lake kuu pana barrier ndipo alipo ponea Msaidizi wa Tundu Lisu, msitu unaosimamiwa na TIS na kulindwa kwa zamu na askari wa kikosi maalumu kuhakikisha hakuna mtu anaingia huko kama hajatekwa nyara au kwa maelekezo maalumu. Yes ni hapa Tanzania Bunju huko tutakuja na google stalite view soon !! Panatumika kutesa na kuua watu na wengi wakipotezwa wakaingizwa mle hawarudi uraiani na mtatafuta mpaka mchoke muache na kusahau. Mafwele kama kawaida akiwa kinara na kikosi kazi chake ndio wana lead genge hili chini ya Maelekezo ya Bashite akipokea maelekezo kutoka juu