Aliyeishia darasa la nne ni Mtanzania
Aliyekataa kusoma ni Mtanzania pia
Machinga ni Mtanzania
Wauza Azam lambalamba ni Watanzania
Sandia fundi ni Mtanzania
Makahaba pia ni Watanzania
Ombaomba ni...
1. Janga la Job Ndugai kuendelea kuwa speaker wa Tanzania. Hili ni kubwa tufanyeni tu maombi lisiendelee kutesa Watanzania.
2. Janga la Emmanuel Nchimbi kuja pewa nafasi ya VP hili janga...
Leo katika bunge, kipindi cha maswali na majibu, nimemuona Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini, Mheshimiwa Steven Byabato akijibu maswali kwa umahiri sana. Anaonekana anajiandaa...
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza...
Habari wanaJukwa,
Tukiwa bado tuna uhuru wa kutoa maoni na kumshauri kiongozi wetu wa nchi.
Pale Wizara ya Afya tunahitaji mtu mwenye uthubutu na kusimamia ethics za tiba. Wakati wa wimbi la...
Kulingana na katiba ya JMT(1977) inaelekeza kuwa ikitokea Rais aliepo madarakani akapatwa na tatizo ambalo litamfanya kua nje ya ofisi ikiwepo na kifo basi Makamu ataapishwa kua Rais wa JMT.
Hapa...
Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi.
Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini...
Wapinzani wa CCM wakijipanga vizuri huu ndiyo wakati wa kuchukua nchi kwa mafungu mafungu. ACT ZNZ wamemaliza na bado Kwa Mpango wakitangaza wakaulize na wengine watakaotemwa.
Wajipange kuongea...
Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake.
Amesema iwapo...
Mali zilizomo ndani ya makontena 20, ambayo ni mali ya mtu anayeitwa Paul Makonda zina thamani ya Sh1.4 bilioni. Hayo yamo katika barua ili-yosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwepo kwa...
RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli anasifika kwa kuchukua maamuzi magumu, kukemea, kufuatilia na kuwaondoa viongozi akiutendaji au namna yoyote ile katika serikali tangu alipoingia madarakani...
Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Bungeni mwana mama kwa kweli nimeshtuka sana, kwanza hakuweza kuongea kama mtaalamu wa fedha hotuba yote anasoma mbaya zaidi anasoma kama mtoto aliye darasani...
Wakuu salaam,
Mimi nimeingiwa na wasiwasi. Kwanini watu wakisema rais avunje baraza la Mawaziri ili aweze kuteua Mawaziri wapya na kuwaapisha, Mwigulu anatokwa povu sana? Katiba inamtaka Rais...
Mambo yameanza kunoga. Deusdedith Kakoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ametiwa nguvuni na yuko chini ya TAKUKURU kwa mahojiano na uchunguzi. Sote tunajua kuwa Mwendazake alikuwa akimwamini...
Ni mda mrefu sijamsikia Waziri wa Fedha na Mipango akiongea. Tokea alivyojikoroga kuelezea ni nani atalipa kodi ya mihamala ya simu na benki hajawai kutoka na kuongea tena.
Bandari imekauka hila...
Ndugu zangu,
Nimeona niliweke hili suala kwa uwazi. Nyakati fulani fulani zinadhihirisha jinsi ambavyo wanachama na viongozi wa vyama vya upinzani ni wafuasi na matawi ya CCM.
Nyakati hizi ni...
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi
Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong'
Wanaoijua siasa
Wanaokijua...
Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na...
Nawasalimu ninyi nyote Wana JF.
Mama, haiba yako imejaa uungwana na kuonyesha kuwa una hofu ya Mungu ndani yako, unajiheshimu na KWA kweli unastahili kuheshimiwa.
Mama WEWE ni Muislam KWA dini...