Mapengo yatakayoondoa CCM

Mapengo yatakayoondoa CCM

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
994
Wapinzani wa CCM wakijipanga vizuri huu ndiyo wakati wa kuchukua nchi kwa mafungu mafungu. ACT ZNZ wamemaliza na bado Kwa Mpango wakitangaza wakaulize na wengine watakaotemwa.

Wajipange kuongea na jamii waondoe kidogo kidogo wala wasianze papara mara wamemtukana huyu na yule.

Kwasasa ikiwa chama tawala hakijajipanga kwa yaliyotokea ni muda wa kufanya kikao wapinzani vyenye tija na pia kuwa na vikao vya kimkakati
 
Jamani nahitaji mkalimani hapa maana sijaambulia kitu.
 
Back
Top Bottom