Jicho la Kipanga: Ripoti ya CAG imeona nini kuhusu matumizi ya mifuko ya Jimbo?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,534
Mjadala wa ripoti tajwa unashika kasi na kila mmoja akivutia upande wake.....

Jicho la ndege Kipanga huwa linachungulia umbali mrefu sana (kwa mujibu wa wataalamu wa utalii wa wanyama)

Basi leo hii jicho la Kipanga linajaribu kuangaza na kujua je Mh Assad amesema nini kuhusu matumizi ya fedha za mifuko ya jimbo?
Hizi ni fedha ambazo pamoja na jitihada ya kufuatiliwa na wakurugenzi wa halmashauri lakini mara nyingi sana wabunge kama wenyeviti wa kamati za mifuko hii huzitolea maamuzi sana na mara nyingi imekuwa ni chanzo cha migogoro kati ya wabunge na watendaji wa halmashauri.

Mwenye kujua ripoti inasemaje kuhusu hili atuletee tuwajadili waheshimiwa sana ambao wao wamejipanga kuichachafya serikali kwa ripoti hiyo hiyo ya CAG.

NI HAYO KWA LEO..


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Back
Top Bottom