Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Naona wanaCCM wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawaringishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!

Ni lini CCM watajua kwamba upinzani ushamalizana na Magufuli siku ile ile aliyotangazwa kufariki? Upinzani ni upinzani wa serikali ya CCM iliyopo madarani. Magufuli alikoma kuwepo madarakani siku alipofariki sahizi upinzani unamuhofia Mama Samia Suluhu Hassan maana ndiye mwenye dola na tunajua kwa utaratibu wa CCM huyo ndiye mgombea Urais 2025 maana CCM huwa hawajitokezi kuchukua fomu kumpinga Rais anayetetea kiti chake.

Hivyo nawashauri CCM waachane na nyomi la msiba wa Hayati Magufuli waanze kumsifu Mama Samia Suluhu, haimsumbui Mnyika wala Zitto picha ya nyomi la msiba wa Hayati Magufuli maana anawaza uchaguzi wa 2025 na anajua JPM hatakuwepo.
 
Watakupuuza lakini umesema ukweli. Maisha hayasimami bali huendelea. Tunapaswa kuendelea na maisha na watu walio hai.

Ninahisi marehemu atatumiwa kupata huruma, ninakumbuka waliokuwa wanasema Chadema inategemea kura za huruma kwa sababu mgombea wake alipigwa risasi. Sasa itakuwa “kumuezi JPM”. Wasisahau wao ndio watakuwa watendaji na sio JPM ambaye hawezi tena kufanya uamuzi wala utendaji!!
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima😭😭😭😭!
Endelea kuzimia, viongozi wako, wako bize kugawana vyeo na kutengeneza mtandao, ukizinduka usilisahau jinalako - mwananchi maskini a.k.a mwananchi mnyonge.
 
Watakupuuza lakini umesema ukweli. Maisha hayasimami bali huendelea. Tunapaswa kuendelea na maisha na watu walio hai.

Ninahisi marehemu atatumiwa kupata huruma, ninakumbuka waliokuwa wanasema Chadema inategemea kura za huruma kwa sababu mgombea wake alipigwa risasi. Sasa itakuwa “kumuezi JPM”. Wasisahau wao ndio watakuwa watendaji na sio JPM ambaye hawezi tena kufanya uamuzi wala utendaji!
Labda Wana mpango wa kutumia mzimu wa JPM kwenye uchaguzi.
 
Kamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.
 
Imekuathiri hadi umebandika bango, ungepuuza

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Nimebadika bango kuwatahadharisha maana mwenyekiti wa chama Mtarajiwa na mgombea Urais 2025 Samia Suluhu hana praise team, team yote ipo inamsifu Hayati. Mnafikiri wapinzani tunashida na wafu sisi ni wapinzani wa serikali.
 
Kamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.
Kawaambie wewe unayewafuatilia Mimi hata sijawafollow
 
Back
Top Bottom