Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,415
THE GAME CHANGER
"Kutokana na taifa kutonufaika ipasavyo na utajiri na maliasili za nchi. Serikali ya awamu ya Magufuli ilichukuwa hatua mahususi ya kuimarisha mfumo wa kisheria ili kulinda kuendeza na kusimamia uvunaji wa rasilimali hizo."
"Idadi ya wanachama wachangiajii waliosajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imeongezeka kutoka 640,341 mwaka 2015 hadi 4,858,062 mwaka 2020, sawa na asilimia tisa ya watanzania wote".
Udahili katika vyuo vya ufundi umeongezeka kutoka wanafunzi 96,694 mwaka 2015 hadi wanafunzi 151,969 mwaka 2020.
"Mradi wa miji ya kimkakati (TSCP) umetekelezwa katika halmashauri za majiji ya Tanga, Dodoma, Mbeya, Arusha na Mwanza, Manispaa ya Mtwara, Kigoma/Ujiji. Kuanzia 2015 mpaka March 2020, jumla ya kilometa 234 za barabara zimejengwa ikiwemo mifereji ya maji ya maji ya mvua yenye urefu wa kilometa 16.47, masoko na standi za kisasa za magari".
"Aidha vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi vimeongezeka kutoka vyuo 672 mwaka 2015 hadi 712 mwaka 2020 na hivyo udahili kuongezeka kutoka wanafunzi 117,067 hadi 226,767 katika kipindi hicho".