Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu?
Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo)...
12 January 2026
Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA
Januari 12, 2026
WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili...
Ufuatiliaji wangu mdogo wa masuala ya kisiasa, umenifanya nifahamu kuwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99%) ya machafuko ya kisiasa na kijamii kwenye nchi zote duniani, husababishwa...
John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi.
Mjadala ule...
Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais...
Wadau wa JamiiForums,
Nimekaa nimefikiri, nimegundua kuwa Waafrika, na hasa sisi Wabongo, tuna ugonjwa mmoja hatari sana: Ulemavu wa Fikra. Tunajisifia tuna rasilimali, tuna dhahabu, tuna almasi...
Bora Waganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi tulikuta tupo korokoroni, wakawaua watoto zetu kama nzige wakachimba mashimo wakawafukia kama takataka.
Waganda wamezimiwa huku wakiwa na...
Nianze kwa kuwapa pongezi nyingi sana DW Africa.
Kazi waliyoifanya ya kuripoti mauaji ya Samia na askari wake ni muhimu sana katika safari ya upatikanaji wa haki na uwajibishwaji wa wote...
TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya...
Japo suala la Samia kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) bado halijafikia mwisho wake wala kujadiliwa. Je, Watanganyika tumejandaaje kama hii kitu itafanyika?
Je...
Katika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri...
Waziri wa Habari, Paulo Makonda ameonesha nia nzuri ya kutaka Tanzania ifahamike kimataifa. Hata hivyo utaratibu aliouzungumza ili Tanzania iandikwe aljazeera, CNN na maeneo mengine ina walakini...
"Inawezekana watu wanakuwa na ujasisri namna hiyo kwa sababu wanajua watukuwa protected mnawezaje kuwa na ujasiri wa kupindisha uamuzi kwa kiwango hicho. Nimeambiwa hawa watu wako kazini mpaka...
Wakuu,
Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi
"Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa...
GT.
Na Malisa.
Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao...