PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yakutana na Jaji Warioba kujadili matukio ya Uchaguzi wa 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,912
Reaction score
16,522
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.

Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam.

Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.

IMG_0565.jpeg

Chanzo: HabariLeo
 
View attachment 3529824
Yupo wapi Warioba kwenye hiyo picha (group photo)!?
 
Wanafiki wale wasije wakam set mzee wa watu akajaa ndani ya 18 zao - Tanganyika inamuhitaji sasa kuliko wakati wowote ule, sasa hichi imejaa WAHUNI tupu mbaya zaidi hadi wazee.
Long live Jaji Warioba, wewe ndiyo mboni ya Tanganyika mpya.
 
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.

Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam.

Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.
View attachment 3529824

Chanzo: HabariLeo
Kwanini inaitwa tume ya kuchunguza uvunjifu wa amani na si tume ya kuchunguza mauaji?
 
Tume ikitoka hapo itaenda kuonana na CNN, BBC na Al Jazeera.
 
Sijaelewa kwa nini ofisi za hiyo tume feki zipo BOT. Ni chaguzi ya sehemu inayofikirisha.
 
Back
Top Bottom