Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi. Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake. Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga...
6 Reactions
28 Replies
637 Views
NCHI INAPOCHAFUKA AMANI INATAKIWA KUTANGULIA NDIPO IFUATE HAKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Nimeulizwa swali; Mtibeli sijasikia ukitoa maoni yako kuhusu kati ya Haki na Amani kipi...
3 Reactions
69 Replies
1K Views
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai"...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo🤔
15 Reactions
85 Replies
2K Views
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku...
120 Reactions
356 Replies
15K Views
Amani iwe nanyi Wanabodi. Leo napenda kuwaambia ukweli mchungu sana ambao inabidi tuupokee na kuufanyia kazi kweli. Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania...
13 Reactions
30 Replies
708 Views
1. Team Samia: Hii imejaa wapambe wa Samia ambayo ni wanzanzibari ndani ya Serikali, IGP Wambura , Makonda na Mapolisi wengine wanaoendeleza utekaji. Hawa ndiyo Samia anawaamini. Sasa wanataka na...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano. Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Wanabodi, Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika...
49 Reactions
284 Replies
90K Views
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka...
30 Reactions
55 Replies
2K Views
Salaam ipo mwishoni Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu Lugalo pembezoni...
22 Reactions
66 Replies
2K Views
  • Featured
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama...
10 Reactions
67 Replies
3K Views
Trump is on offense once again! The countries affected by the suspension announced on Wednesday are: Afghanistan, Albania, Algeria, Antigua and Barbuda, Armenia, Azerbaijan, Bahamas, Bangladesh...
16 Reactions
105 Replies
2K Views
Baiskeli, Pikipiki, Khanga , tisheti na kofia mligawiwa kama njugu. Mkakataa waziwazi kiongozi wenu. Mkasombwa, maloli matrekta na matela ya punda kujaza mikutano. Leo hii mnatumia hizo baiskeli...
3 Reactions
5 Replies
278 Views
Wakuu, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi kutoka Sh561 kwa...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa "Nafasi ya kujitetea...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais Samia katika ziara zake anazofanya amezoea kusifiwa kila anakopita, hali inayojenga taswira kuwa hapendi kuchalenjiwa au kuulizwa maswali magumu kuhusu utekelezaji wa maendeleo. Katika hali...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Agizo la RAIS ni kuwa tume imhoji aliyesema tutakinukisha alikuwa na maana Gani? Je itamfata jela au ataletwa ukumbi wa Benk Kuu? Maandamano ya mkoa wa Dsm yalianzia ubungo kwa KANISA la...
8 Reactions
18 Replies
516 Views
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Back
Top Bottom