Naomba nisiandike sana ila huu mchezo wa vijana ndani ya chama na serikali kuwajibu wazee walio tupatia hili taifa naomba niwakumbushe hamtodumu na wala hamtofika miaka waliofika na kama na tania...
Kuna chawa anaitwa kikaragosi aka kihongosii. Juzi, alijitokeza na kujaribu eti kumkosoa mzee Warioba. Kumkosoa mtu yeyote si kosa. Ila kosa ni kushindwa kujibu hoja na kuzua matusi na uzushi...
Godbless anadai amekuwa akifuatiliwa na watu wasiojuilikana, Lema ameandika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ujumbe huu....
Kwa siku kadhaa sasa, nimekuwa nikifuatiliwa na watu...
Nina uhakika kinachoendelea dhidi ya Katoliki si mzaha wala burudani, bali ni dharau, dhihaka na kejeli ya wazi dhidi ya Katoliki na Imani ya Kikristo kwa ujumla. Hii ni hatua hatari sana kwa...
Ndugu zangu, mnifundishe mwenzenu, Naanzaje kumpenda mtu aliyeruhusu mauwaji ya kikatili kiasi kile?
Nimepoteza ndugu zangu wanne katika tukio la maandamano ya 29 October 2015 ya kupinga...
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa...
Wakuu,
Mume wake Cherry anayeitwa Mkiza amejitokeza hadharani kusema kuwa yeye na mkewe wako salama ila kwa sasa wamekimbia nchi
Anasema kuwa wamekimbia watekaji kwa zaidi ya mara 3 na hata...
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa serikali imeingia mkataba wa siri wa kitapeli kuilipa kampuni ya Marekani ya Ervin Graves Strategy Group LLC. dola million moja $1.08m na kuipa mkataba wa...
Wakuu,
Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi
Hoja za Sheikh
- Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni...
Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose...
Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania...
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi
Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 29...
Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA?
Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini?
Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya...
Wanabodi
Angalizo la uchangiaji
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya mada za kikubwa,na huwa yanapanda humu mida ya usiku mkubwa wakati watoto wameisha lala!
Hakuna jina la mtu yeyote, limetajwa...
Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", zikijikita kwenye uzalendo Kwa taifa Letu huku nikisisitiza ukweli na uwazi, ( truthfulness and transparency)
ukiwa mkweli na...