Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya, amesema mafunzo yanayotolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni suluhu muhimu katika...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra. Hii...
21 Reactions
39 Replies
2K Views
Hamjambo! 1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea. 2. Hawakupika chakula cha maana. 3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija...
8 Reactions
20 Replies
672 Views
GT Hawa CCM na Samia wao bado hatujamalizana nao pitia hii report kwa makini. Kiufupi ni kwamba yale ya M029 dunia inajua kila kitu technology is power. Hii Document ni ripoti ya shirika la...
16 Reactions
22 Replies
746 Views
  • Redirect
ASKOFU MWAMAKULA APATA WITO KUFIKA MBELE YA TUME YA RAIS! Ndugu Watanzania! Kama mtakumbuka, Rais Samia aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu machafuko ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Siku ya...
11 Reactions
Replies
Views
Yawezekana usinielewe wewe UNAE soma hapa, lakini nahisi Lile kundi alilolitema ndo lingemsaidia KUMSAFISHA na kusafisha anga la tarehe 29.10 kinyume chake Hali ni mbaya mbaya mbaya na Nina hakika...
2 Reactions
5 Replies
152 Views
Katika hukaha, kutapatapa na kuhanyahanya, Samia aliunda timu, siyo tume ya maridhiano. Kwanza, anaridhiana na nani? Pili, pesa ya kuendesha zoezi hili inatoka kwenye bajeti gani? Tatu, ni kiasi...
1 Reactions
2 Replies
167 Views
Katika hukaha, kutapatapa na kuhanyahanya, Samia aliunda timu, siyo tume ya maridhiano. Kwanza, anaridhiana na nani? Pili, pesa ya kuendesha zoezi hili inatoka kwenye bajeti gani? Tatu, ni kiasi...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Ni usiku wa SAA kumi, Sina hakika kama Rais umelala usingizi WA pono, Sina hakika waziri mkuu kama umesinzia usingizi WA pono, MAKAMU je nawe umeupiga usingizi? Mkuu wa MAJESHI wewe ni jirani...
1 Reactions
4 Replies
224 Views
Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Fatma Karume alisimamishwa kufanya kazi za uwakili kwa upande wa Tanzania bara tangu mwaka 2019 akipinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG) Dkt Adelarus Kilangi aliyeteuliwa na rais John...
3 Reactions
12 Replies
470 Views
Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
11 Reactions
27 Replies
841 Views
Vijana wa CCM, Warioba aliwakosea Nini? Makonda alimpiga ngumu ya shavu, nimwonavyo. Kihongosi Mzee wa ziara tomba x, akipewa bastora atamuua je aliwawakosea Nini?
1 Reactions
3 Replies
198 Views
Sikiliza, amerudi kwenye msitari kwa leo. Sijui kesho!
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka...
4 Reactions
26 Replies
676 Views
https://youtu.be/L2GVEcJT2vs?si=ZwNrFhMEKZN3Z1e9 Taasisi nne zinazoheshimika duniani zimekusanya uthibitisho wa ushahidi usio na shaka juu ya uhusika wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania...
41 Reactions
164 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi unatokana na nguvu na mizizi iliyoanzia ngazi za chini...
3 Reactions
29 Replies
554 Views
Umofia kwenu wakuu. Kuna taarifa za kutoka Chanzo cha kuamimika kwamba Halimashauri ya wilaya ya Karatu imempatia mtoto wa Samia, Abdulu eneo la mnada wa Karatu ili ajenge Hoteli. Kwa mlio wahi...
1 Reactions
7 Replies
322 Views
Mzee Butiku anasema usalama walimfata wakamwambia waende nae wakamfiche walikoficha V.I.P wenzake mkoa wa Mara siku ya tarehe 29 Oktoba, 2025 Ameenda mbali zaidi anadai akawauliza V.I.P ni nani...
4 Reactions
18 Replies
506 Views
Back
Top Bottom