Kama kichwa kinavyojielekeza ninakusudia kueleza ni kwa namna gani umaskini ambao umekua ndio nyenzo muhimu katika kukamata nyazfa muhimu Serikalini na jinsi unasababisha umaskini kuongezeka...
Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.
Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye...
Mabibi na mabwana hapa chini ni yote aliyoyasema Prof. Lumumba:
Ni wazi kuwa Prof. PLO Lumumba kama wakili nguli alijiandaa kweri kweri kumtetea mteja wake vilivyo.
Hata hivyo, katika haya...
Tumesha shuhudia zaidi ya hotuba tatu muhimu za maelekezo toka kwa Rais Mheshimiwa Suluhu.
Katika hotuba hizo hakupata kutumia neno MABEBERU hata mara moja wakati kwa idadi hiyo ya mikutano...
Kama title inavyojieleza,rasmi Sasa Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amekiri kwamba wawekezaji walikuwa wakilidaiwa Kodi mara mbili mbili na kupelekea kukimbia hapa nchini na kwenda nje...
VP ni muumini na ni mtu anayeamini katika falsafa za Hayati.
Na kwa namna inavyoonekana boss anataka awe na mlengo wake wa kipekee tofauti na Hayati japokuwa alikuwa msaidizi wake.
Na kwa namna...
Tangu Mh.Samia ashike madaraka kulikuwa na ukimya mkubwa kutoka kwa baadhi ya vijana wa CCM. Waliokuwa wanampongeza ni wapinzani na sisi wananchi wa kawaida.
Baada ya uteuz wa mawaziri na...
Ni wakulima wa matunda,kuanzia maembe mpaka machungwa mpaka mananasi ,kwa kweli tunapata hasara kubwa sana ,tunachohitaji ni kama ipo wizara au waziri wa kilimo,mpatie safari za nje aend huko...
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi...
Kwa Nchi zenye Katiba inayoruhusu Serikali ya Mseto kama Zanzibari ni ukweli kuwa Tundu Lissu ndiye angepewa Umakamu wa Rais.
Tuombe Mungu matamanio haya yawe kweli kwa siku zijazo ili kukuza...
Msemaji wa Serikali amesema wamelichukulia hatua za kisheria gazeti la TanzaniaDaima kwa mwendelezo wake wa kuandia habari za uongo.
"Serikali imelichukulia hatua za kisheria gazeti la...
Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni.
Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana...
Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5)...
Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi...
Habari wakuu
Mimi binafsi sioni sababu ya kuleta uhasama wa vyama katika nchi yetu yenye Amani, hii dunia tunapita tu, kuleteana ubabe na ujuaji ni kujitengenezea jehanu yako.
Mh jaribu kuwaita...
Nashangazwa na serikali hasa ukizingatia wameweka wasomi wengi sana. Kwasababu ya mazoea wasomi wetu sio wabunifu na hakuna sera siku hizi na mapingo mizuri zaidi ya kumsubiria Magufuli anasema...
Tarehe 28 Machi niliandika mada kuhusu Umagufuli bila Magufuli au Magufulism without Magufuli.
https://www.jamiiforums.com/threads/umagufuli-bila-magufuli-utaendelea.1852857/
Leo Aprili 6 2021...