Alichokisema Prof. PLO Lumumba kisichopendeka Lumumba

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,900
Mabibi na mabwana hapa chini ni yote aliyoyasema Prof. Lumumba:

Ni wazi kuwa Prof. PLO Lumumba kama wakili nguli alijiandaa kweri kweri kumtetea mteja wake vilivyo.

Hata hivyo, katika haya yafuatayo wanalumumba wanayafumbia macho kana kwamba hawakuyaona wala kuyasikia:

1. Lumumba hukubaliani na sera za kizalendo za mwendazake kuhusiana na mapambano dhidi ya Corona yakiwamo upigaji nyungu, maombi na mitishamba.

2. Lumumba hakatai mwenda zake maishani alipotoka, ila anaitisha busara kumwacha apumzike kwa amani kana kwamba kuyarejelea yanamtesa mno mteja wake.

Kikomavu komavu tu, Lumumba kajitanabaisha kuwa akifika kwenye mazungumzo haya kama wakili mahakamani tu, mwenye shughuli moja ya kumtetea mteja wake bila ya kujali makosa au mema yake.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
PLO Lumumba kasimama katika ukweli!

Kabisa Yohanne na huu ndiyo ulio ukweli wenyewe:

1. Corona tupate chanjo tutakwisha ndugu zangu. Haya mambo ya nyungu na mazaga zaga yake yakiwamo ya Madagascar ni usanii tu.

2. Tumwache mwenda zake apumzike hakuwa Mungu.

Au kasema uongo ndugu zangu?
 
Mabibi na mabwana hapa chini ni yote aliyoyasema Prof. Lumumba:

Ni wazi kuwa Prof. PLO Lumumba kama wakili nguli alijiaandaa kweri kweri kumtetea mteja wake vilivyo.

Hata hivyo, katika haya yafuatayo wanalumumba wanayafumbia macho kana kwamba hawakuyaona wala kuyasikia:

1. Lumumba hukubaliani na sera za kizalendo za mwendazake kuhusiana na mapambano dhidi ya Corona yakiwamo upigaji nyungu, maombi na mitishamba.

2. Lumumba hakatai mwenda zake maishani alipotoka, ila anaitisha busara kumwacha apumzike kwa amani kana kwamba kuyarejelea yanamtesa mno mteja wake.

Kikomavu komavu tu, Lumumba kajitanabaisha kuwa akifika kwenye mazungumzo haya kama wakili mahakamani tu, mwenye shughuli moja ya kumtetea mteja wake bila ya kujali makosa au mema yake.

Au nasema uongo ndugu zangu?

English inakuendea vizuri? Au .........................
 
..Prof yuko kwenye payroll.

..anadai demokrasia imetamalaki Tz.

..hana habari kabisa na dhuluma na misukosuko wanayopitia wapinzani hapa Tz.
 
Kabisa Yohanne na huu ndiyo ulio ukweli wenyewe:

1. Corona tupate chanjo tutakwisha ndugu zangu. Haya mambo ya nyungu na mazaga zaga yake yakiwamo ya Madagascar ni usanii tu.

2. Tumwache mwenda zake apumzike hakuwa Mungu.

Au kasema uongo ndugu zangu?
Bwashee kwani wewe umekatazwa kuchanjwa?
 
Mpayukaji
Atengeneze ya Kenya kwanza
Undani wa yaliyopo yaliyokuwepo Yajayo hata ya mwendazake wajuao ni WaTz
Asiwasemee WaTz
Mambo mengi ' vitabu vitaandika baadae historia itaandikwa......

Pro jitahidi kusoma Kitabu cha Kumbkumbu katika Biblia Takatifu
 
English inakuendea vizuri? Au .........................

Usinifananishe na jiwe au ile timu yenu pendwa inayokaa kupotosha vichwa vya mada kwa maudhui.

Tumewahimiza mods rasmi kabisa kuwa vi nyuzi uchwara vyenu vya namna hiyo wasisite:

"Fyekelea mbali!"
 
Dubai wanachanja bwashee au hauna nauli?

Haipo nchi yenye chanjo ya kutosha kwa raia wake.

Beberu mtengeneza chanjo mwenyewe hana chanjo ya kutosha raia wake sembuse wakulungwa uarabuni?

Takwimu zako unapewa Lumumba na Lumumba?
 
Kama chanjo zingekuwa zinapatikana kwa urahisi, hata wapendwa wetu wangekuwa bado hai wakichapa kazi lakini kuzikataa zile za bure za mgao toka WHO lilikuwa kosa kubwa sana lililowatanguliza wao tutafuata baadaye maana gonjwa bado lipo sana.
 
Waswahili hawakukosea kulinena:

"Wajinga ndiyo waliwao!"

Wenzetu ndiyo wamekwisha liwa hivyo sisi tuko njia moja.
 
Kabisa Yohanne na huu ndiyo ulio ukweli wenyewe:

1. Corona tupate chanjo tutakwisha ndugu zangu. Haya mambo ya nyungu na mazaga zaga yake yakiwamo ya Madagascar ni usanii tu.

2. Tumwache mwenda zake apumzike hakuwa Mungu.

Au kasema uongo ndugu zangu?
Nenda kachanjwe na ukoo wako mzima hapo kenya si karibu.......Sisi No na hizo Vaccination
 
Usinifananishe na jiwe au ile timu yenu pendwa inayokaa kupotosha vichwa vya mada kwa maudhui.

Tumewahimiza mods rasmi kabisa kuwa vi nyuzi uchwara vyenu vya namna hiyo wasisite:

"Fyekelea mbali!"
Nilikuuliza kwa sababu summary ya mambo uliyoyaona kwenye maelezo ya Lumumba, ni tofauti sana na wale tunaojua lugha tuliyoyasikia. Au ulishindwa kuelewa english ya Lissu ndo ukadhani ni Lumumba, maana Lissu Lugha imemgomea kabisa! Hata art ya language; Ni kelele na kigugumizi cha kuwaza kwa kiswahili.

Boss, analysis ktk summary yako ni ile inayotokana na kitu tunaita mental block.
 
yaani nimeshangaa ametoa wapi!
 
Lissu jazba na kuongea maelezo mengi yasiyo na evidence, evidence zake ni zile zile I heard I heard , mara nina source kutoka SA na USA mara Nairobi hospital, hii ni pure upinzani wetu Tz kulalamika kwingi with zero solution, hata mkapa aliwahi sema haya juu ya wapinzani wetu, Debate kubwa na muda mrefu ulikuwa ni mwandishi na Professor Lumumba, ni aibu iliyoje nchi za jirani wanajua mazuri ya Magufuli kuliko kiongozi mkubwa wa upinzani? , huwezi ishinda CCM kwa just attacking Magufuli nooo na magazine ya je tunatoka vipi kwenye hili wimbi la umasikini? ni wapi CCM / Magufuli amefail? toa majibu ya hayo watu watakukubali.
 
Nilikuuliza kwa sababu summary ya mambo uliyoyaona kwenye maelezo ya Lumumba, ni tofauti sana na wale tunaojua lugha tuliyoyasikia. Au ulishindwa kuelewa english ya Lissu ndo ukadhani ni Lumumba, maana Lissu Lugha imemgomea kabisa! Hata art ya language; Ni kelele na kigugumizi cha kuwaza kwa kiswahili.

Boss, analysis ktk summary yako ni ile inayotokana na kitu tunaita mental block.

Nilikuwa busy namfuatilia mama anavyotunyooshea mitaga nyie.

Kwamba umeona summary au umesikia summary imeongelewa wapi?

Chatto Inc tuna rais mwingine sasa hivi zama zile hazipo!
 
Back
Top Bottom