jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,242
VP ni muumini na ni mtu anayeamini katika falsafa za Hayati.
Na kwa namna inavyoonekana boss anataka awe na mlengo wake wa kipekee tofauti na Hayati japokuwa alikuwa msaidizi wake.
Na kwa namna ninavyomfahamu VP itakuwa ngumu mno kwakwe eti kwa haraka awe na fikra tofauti na Hayati,nasisitiza ni VIGUMU!
Hapo penye ugumu ndipo wao wawili kwa maana ya Viongozi kila mtu atataka awe na namna ya uongozi wake.
Japokuwa sina hakika lakini naamini katiba haimruhusu Rais kumfukuza VP kwenye nafasi yake labda chama kimfute uanachama na hapo VP atakosa uhalali wa kuwa VP.
Yetu macho.