Hakuna nchi yoyote duniani iliwahi kuendelea bila kuwekeza kwenye elimu.Tumeshuhudia fedha nyingi sana zikitumika kwenye uwekezaji wa miundo mbinu mikubwa,ingawa miundo mbinu ni muhimu maendeleo...
Najua wapo watakao sema ni ukatili, hapana.
Kama ambavyo wafanyakazi wanao lipwa sh hata laki nne kwa mwezi hukatwa Kodi kila mwezi, ni wakati wa wafanyabiashara tajwa kulipa Kodi halali itakayo...
Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ameshauriwa kukamilisha upelelezi ndani ya muda mfupi ama kuiondoa mahakamani kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za...
Chagua kati ya kundi mnyonge au maskini : Mnyonge ukumbozi wake ni kuua wanyongaji wa mnyonge. Haijalishi awe ni mleta maradhi, mchawi, wasiotenda haki, wezi, matajiri, mabeberu, viongozi, na...
Mabibi na mabwana inatia moyo kuwa tuna mwanzo mpya. Katika awamu ya 6:
1. Urasimu uliokuwapo sasa unapigwa vita.
2. Upigaji mkubwa wa pesa uliokuwapo unapigwa vita.
3. Ugonjwa wa Corona uliopo...
HATUA ya serikali kuelekeza miradi mikubwa zaidi ya sita ikiwemo ujenzi wa bandari na uwanja wa ndege wa kimatiafa wilayani Bagamoyo, alikozaliwa Rais Jakaya Kikwete imepingwa na wapinzani...
Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote.
Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la...
Napenda kutumia fursa hii kumkumbusha mama yetu, Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wale wapiga deal waliolitesa taifa hili kabla ya Utawala wa Awamu ya Tano bado wapo mjini, wanaishi kwa matumaini na...
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.
Jambo gani hili? Akiachana...
Kila kukicha unasikia mipango mipya ya maendeleo ya Serikali itatekelezwa au kuanzia Bagamoyo na kumalizikia Katavi. Mfano ni hii ifuatayo:
1. Ujenzi wa chuo kipya cha IFM utafanywa eneo la...
Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa...
Habari wakuu,
Nimejaribu kuangalia vilio na mayowe wanayotoa mataga kila kona ya Tanzania bila kutoa sauti ,wakinungunika na kutokumkubali raisi wetu mpendwa, nimegundua kuwa.
Mama anapigania...
Kwenye Serikali ya mifumo hakuna kuonyanya, hakuna kuagizana, hakuna kutishia, hakuna kutoa wiki wala masaa.
Mifumo inafanya kazi hata kama Viongozi wote wamepugwa Mabomu na kufa.
Ni sawa na ule...
Kuna watu wanaamini kuitwa Dr au Prof ndo wamesoma na wana suluhu ya matatizo ya Dunia. Wanasahau kwamba hizo elimu siyo uwezo wa kudeliver.
Natabiri muda wowote kuanzia Sasa wenye dharau kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.
=======
Baadhi ya mabadiliko
- Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa...
Rais wetu mama samaia suluhu hassani ameongeza furaha ndani ya taifa letu Tanzania.
Wananchi wameanza kuzungumza bila hofu kwa muda mfupi na kwa kasi kubwa sana.
Hofu inaondoka ndani ya wananchi...
Kabla ya utawala wa awamu ya tano kuingia 2015, vyombo vya habari na waandishi wa habari kitaaluma nchini vilikuwa na uhuru walau wa asilimia 70 ya kufanya kazi kitaaluma na wasihofie baya lolote...
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!
Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.
Anyway,mimi...