Migogoro ya wakulima na wafugaji ipo kwa miaka mingi sana, ilishamiri mno kipindi cha awamu ya nne, pale nchi ilipopata changamoto ya uakame miaka ya 2006 mpaka 2007 wafugaji walihama hama sana...
GT
maCCM mnapoteza mda kujinadi kwa.maneno ya kwenye kanga watz wana hasira sana na ninyi.
Hakuna neno mtakalosema mkaeleweka matendo yenu ndiyo yatakayoamua hatima yenu.
Tuna.hasira sana hii...
Kihongosi acha siasa za kimalaya walio umiza wananchi ni polisi walitumwa na samia tuache siasa za umalaya kwenye vitu vizito kama vya uhai wa watu.
Watu kama hawa ni wapumbavu sana unatafutaje...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kuwa tishio la watu kupigwa risasi liliwafanya mamilioni ya wananchi kubaki majumbani. Alisema kuwa takribani...
Nilikuwa katika kijiwe flani cha Wasomo wakati tukijadiliana suala la rushwa, kuna hoja ilianzishwa kwamba moja ya jambo ambalo watu wanalichukuliwa poa ni kwamba linaweza kuwa linachan
gia...
Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani.
Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea.
Wameacha funzo kubwa...
Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu.
lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto...
Mzee Butiku Mimi sijawai mwelewaga maana hawagi wa moto Wala WA baridi, ila Ili la Leo limenikumbisha mbali sana Hasa kwenye mambo ya ulinzi wa viongozi wakubwa WA nchi.
Tunafahamu sote, viongozi...
Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027.
Wanaharakati wanaendelea na juhudi za...
Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika.
Viongozi hulazimisha kuabudiwa.
Vyombo vya dola hugeuka kuwa...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama...
Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais Mteule wa Uganda, Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo.
Katika ujumbe wake, Rais Samia amesema ushindi wa Rais Museveni unaakisi...
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, alipokuwa akizungumzia sakata la kutekwa kwa Dk. Olimboka, alisema kuwa tukio hilo ni mwendelezo wa kile alichokitaja kuwa ni...
Okay, kama ametumia kifaa basi Mkuu wa kituo na Maaskari wa kituo husika wawajibishwe kwa sababu ni jukumu lao kuhakikisha usalama wa raia awe ndani ya kituo au nje ya kituo.
Inakuaje mtu ana...
Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu...
Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali tuhuma zinazomhusisha na mauaji ya aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, Ali Mohamed Kibao...
Taarifa inayosambaa mitandaoni kwamba viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje wamechota kiasi cha USD million 4 kwa ajili ya kwenda nje kusafisha nchi ni za uzushi hazina ukweli na zipuuzwe.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.