Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A' Sababu ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafakari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifutwa ya Makamu ikawepo? Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita...
13 Reactions
57 Replies
9K Views
Ndugu zangu, Sasa imekuwa ni kawaida kukuta wanaojiita wafuasi wa Chadema humu JF kusherekea maamuzi ya Kenya dhidi ya Tanzania japo yote yamefeli tukianza na ule upuuzi wa "coalition of the...
19 Reactions
90 Replies
6K Views
Habari zenu Wana wa JF siasa. Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii. Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri...
3 Reactions
134 Replies
14K Views
Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti...
28 Reactions
221 Replies
18K Views
Kipanya ameendelea kuwashikia kibendera wawakilishi wetu pale mjengoni. Picha hii chini binafsi nimeshindwa kuilewa maana siyo mjuzi wa kusoma habari picha.
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Na Thadei Ole Mushi. Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh. Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana...
17 Reactions
25 Replies
4K Views
TCAA inaishikilia ndege moja aina ya Embraer 190 mali ya Fastjet (T) kwa deni la billion 6, haijulikani kama hilo deni ni la TCAA pekee au kuna partners wengine nao wanaidai Fastjet. Inajulikana...
12 Reactions
52 Replies
5K Views
Eneo la Makongo juu wilayani Kinondoni, limekuwa na shida ya barabara kwa miaka mingi sana. licha ya eneo hili kuwa maa muhimu na maarufu., na kukaliwa na watu mashuhuri, limekosa barabara kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kawaida kwa mtu mwenye akili zake (muungwana) akianza kurushiwa maneno na kichaa huwa anakaa kimya. Vivyo hivyo muungwana akiporwa nguo zake na kichaa, huwa anachutama. Sasa wabunge darasa la...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndio shida ya kila mtu kuleta usanii kila mahali huku mavuvuzela ya kijani yakisifu kwa vigelegele na hongera. Saluti asiige tuu ina namna yake na ni heshima haitolewi kwa mikao ya kihunihuni
16 Reactions
115 Replies
15K Views
Jana nimetoka Ifakara, Tulipofika Eneo la Ruaha tuliambiwa abiria wote tushuke kuna ukaguzi wa Watu wa Maliasili! Tulipo shuka Abiria wote Aliingia Askari wa Maliasili kukagua Mabegi yaliyopo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukifuatilia historia ya bara la Afrika, kwa kiasi kikubwa lipo hapa kwa kukosa viongozi wenye maono ya kutoa watu wao kwenye umasikini. Mbaya zaidi viongozi wengi hawana uzalendo. Historia ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO? Onyo : Usithubutu kuwaamini...
25 Reactions
67 Replies
5K Views
Inaaminika duniani kote vijana ndiyo nguvu ya kupeleka gurudumu la maendeleo mbele kwa nchi husika. Ila kwa serikali yetu imekua tofauti sana, hakuna maneno ya faraja na kutiana moyo kila leo ni...
1 Reactions
1 Replies
658 Views
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'. Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni...
4 Reactions
76 Replies
6K Views
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.
0 Reactions
62 Replies
13K Views
Mh Spika wa bunge la 12 Job Ndugai, mmegoma kutoa ajira kwa vijana, mmeacha kutunga sera/shera nzuri ambazo zinaweza kuvutia uwezekaji mkubwa na kuleta ajira kwa vijana, mmeacha kupitsha sheria...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…