Leo tarehe 21/04/2021 Kamati ya Maendeleo ya Kata ya Sandali chini ya Mh Kabalika Diwani iliketi katika ukumbi wa kata kwenye kikao cha robo ya tatu kupokea taarifa mbalimbali za utekelezaji wa...
Hivi director of communications wa CHADEMA ni nani? Majukumu yake mi yepi? Je profile yake ikoje?
Staff wa department you ni akina nani? Profiles zao?
Je hii idara budget yao kiasi gani?
Looks...
Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa
Kitendo cha kufanyia...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha...
Wizara ya TAMISEMI bajeti yao siielewi kwani inaonekana bora ya jafoo kuliko alieopo ni hatari nyumba zinajengwa kwa mamilioni ya pesa mfano kuna nyumba nimeona inajegwa kwa 830m nyingine uzio...
Mapema Rais Magufuli alinukuliwa akisema maneno haya:
“Bado kuna tatizo kubwa ofisi ya DPP (Mkurugenzi wa Mashtaka) na AG (Mwanasheria Mkuu), panakuwa na ushahidi na nyie Majaji mnaona lakini...
Kwa tathimini ya haraka Ubunge umekuwa jambo jepesi sana,niwaombe wabunge watakaopita hasa Ma prof na ma Dr wakakomae bungeni ili wabadilishe vifungu katika katiba kuhusu eneo la uwakilishi iwe...
Afisa Tarafa ya Magole, Mtendaji Kata wa Mbigiri na Diwani wa Kata ya Mbigiri wilayani kilosa watakuponza usipowachukulia hatua haraka.
Vimungu mtu hawa wanatumia jina lako kama mkuu wa mkoa...
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.
Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea...
Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita...
The World Bank (WB) is currently working on approving five projects valued at $1.15 billion (about Sh2.6 trillion) for Tanzania, the State House said yesterday.
A press statement from the State...
Na Thadei Ole Mushi.
Siku zote Marais wanapoingia madarakani huingia wakiwa Safi kabisa ni sawa na mtu anayepewa Karatasi jeupe achore au aandike yale aliyonayo kichwani.
Magufuli alipoingia...
Leo katika kongamano la viongozi wa dini ukumbi wa Chimwaga Dodoma, Mufti wa Tanzania, Abubakari Zuberi alipata nafasi ya kusema machache na mojawapo aliongelea wahujumu uchumi nyakati za uongozi...
Mh. Rais mama samia anaamini kwamba wawekezaji wakija kwa wingi nchini watachangia ukuaji wa uchumi kwa kasi ambapo kwa sasa kinachowakwamisha ni complications zisizo na ulazima, kodi zisizo...
Katika maendeleo yawe kwa mtu binafsi, yawe kata, jimbo, wilaya, mkoa na Taifa miaka mitano ni mingi sana Haiwezekani mbunge huna mawazo chanya miaka mitano unapiga bla bla unasubiri miaka mitano...
Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali...
Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko...
Ninaingalia Tanzania na na idadi ya Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji vyake na idadi ya miradi ya maendeleo inayoguza moja kwa moja mikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kama vile...