Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na...
Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine.
Licha ya umuhimu wa...
Nianze tu kwa kusema miongoni mwa mawaziri ninaowakubali hapa nchini ni huyu mama (Ummy Mwalimu).
Huyu ni miongoni mwa mawaziri wafuatiliaji sana kwenye shughuli zake za kila siku, hii mnaweza...
https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims
HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI
Christian Drosten na...
Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika.
Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu...
Nikijadiliana na wazee wa chama Tawala wenye ushawishi ndani ya chama na serikali kuhusu hatma ya chama nadhtushwa na mawazo yao japo yapo sahihi. Wanasema kisiasa endapo Rais na Mwenyekiti wa...
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini.
Ndugai alisema hayo jana wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis...
Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya...
Zanzibar tuliaminishwa watu awapigi mpunga ila nimefuatilia madudu yanayoibuliwa na Rais aliyepo nikabaini binadamu hasa waliosoma wanatumia vyema taaluma zao kufanya ubadhirifu kuliko kuwatumikia...
KINACHOMTESA MEYA JUMA RAIBU NI KAZI ZAKE
Anaandika Mwinjilisti Mathayo Chamshama
Trending news ya sasa katika siasa za kaskazini ni Juu ya kinachoitwa "Uchotwaji wa Milioni 150 za Benki ya...
Asilimia kubwa ya watu wanaounda au kujiunga na vyama vya siasa Tanzania, hawafanyi hivyo kwa sababu ya itikadi, falsafa na sera bali ili kutafuta fursa, mengine ni yatokanayo.
Wengi...
Poleni kwa mahangaiko ya dunia hii ndugu zangu. Poleni wahanga wenzangu mliopitiwa na wezi.
Ushauri kwa serikali: Kuna haja ya kuona namna ya kuweka mazingira wezeshi kwa wazee wa mila kuanzisha...
Ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro imefanikiwa kumtapisha shilingi milioni mia moja na hamsini (150,000,000) Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu alizokwapua kifisadi kutoka Benki ya ushirika...
Kuendelea kushupaza shingo kuwa hakuna makosa yaliyofanyika juu ya uvunjifu wa haki za binadamu hapa nchini kwetu ni kupoteza muda. Maana ni kutaka kujenga taswira isiyofaa kuwa mauaji, ukatili na...
Amani iwe nanyi wana JF!
Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha...
Salaam,
Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye amefunguka ya maoni.
Kasema Kuna upungufu wa Sheria za Uchaguzi kwenye Local Government. Vigezo vinavyotumika kuwaweka watu Pingamizi na kuwaondoa, ni...
Ndugu wana JF kupitia jukwaa la siasa, nawasalimu Kwa jina la Demokrasia jibuni 'kwa pamoja tuipiganie'
Ndugu wana JF, Naomba nianze kwa kunukuu maneno machache toka katika katiba ya JMT (1977)...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,...
Katika malezi tuliambiwa mkubwa hakosei japo Kuna wakati makosa yanaonekana dhahiri
Mzazi akikukosea hata iweje atabaki kuwa mzazi...
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu...
UZINDUZI WA KAMPENI YA BORESHA VYA KALE JIMBO LA TEMEKE.
LEO Tarehe 24/04/2021.
Mhe.Dorothy Kilave.Mbunge wa Jimbo la Temeke,Amezindua Kampeni ya Boresha Vya Kale Kampeni,Maalumu kwaajili ya...