Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu. DC Shaka amesema hayo...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
TAREHE 23 JANUARI, 2026. WASHINGTON—U.S. Seneta Jim Risch (R-Idaho), Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni. Uchaguzi wa Uganda - kama ulivyokuwa uchaguzi wa hivi majuzi nchini...
12 Reactions
72 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia...
0 Reactions
8 Replies
259 Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mwalimu Jumanne Misungwi, ametaka hekima na busara zitumike katika utatuzi wa mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwa mali ya Serikali, akisisitiza umuhimu...
0 Reactions
3 Replies
297 Views
Wakuu, CCM wanakaribia kukamilisha agizo la Zungu🤣🤣🤣 Victor Mhagama ameibuka mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Peramiho na kuwashinda wengine 27. Sasa imebaki kuangalia raia...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
  • Redirect
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Dkt. Lazaro Komba, kuwa mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma. Uamuzi huo...
1 Reactions
Replies
Views
Kwa wanasiasa wa Tanzania wa vyama vyote, hakuna mtu ambaye anaweza kutoa ujumbe mfupi unaoeleweka kama Heche. Vijana jifunzeni kutoka kwake jinsi ya kuwasiliana
8 Reactions
10 Replies
419 Views
Like mother like son, wanapigana hadharani kama wameelaaniwa. Na bado wataendelea kuwa maofisa wa Umma!
6 Reactions
9 Replies
347 Views
Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara.. Na sasa eti wanataka...
11 Reactions
8 Replies
397 Views
Nina uhakika Samia hakuingia Ikulu kutuibia, lengo lake alete Maendeleo kwetu ila ili la 29.10.2025 limechafua sana anga hata afanye nini sisi tumechagukwa mno mnonga
1 Reactions
6 Replies
253 Views
Another version of star chamber courts of early England. Tunaiga leo karne ya 21 kuwa Star Chamber Commission of Enquiry! Shame upon you, Chande!
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe, wanafamilia wa marehemu Edwin Mtei, viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ndugu wananchi, waombolezaji, mabibi na...
10 Reactions
5 Replies
547 Views
Dah! Yamerudi Yale majizi yaliyokuwa yamekamatwa na kufilisiwa haswa na Hayati Magufuli,,? Haya sio mengine ni majizi yaliyokuwa yanasambaza mbolea feki kwa wakulima enzi za utawala wa Jakaya...
1 Reactions
4 Replies
303 Views
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, hajamung'unga Maneno pale alipopewa nafasi ya Kutoa neno kwenye hafla ya kumuaga Mzee Mtei Mbele...
29 Reactions
52 Replies
2K Views
Asee Heche ni mwamba . Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba...
8 Reactions
9 Replies
514 Views
Kuanzia Rais mstaafu ambaye ndio God father, Rais mwenyewe, Waziri Mkuu, Mawaziri, Wabunge, MaRC, MaDC, viongozi wa CCM na wengineo wote ni WASWAHILI kwa maana Ile ya Mzee Mtei iliyodadavuliwa...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari .
32 Reactions
62 Replies
2K Views
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi...
18 Reactions
31 Replies
936 Views
Back
Top Bottom