Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kampeni zikaanza...
5 Reactions
10 Replies
341 Views
Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi, scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana. Huwezi kuja na maelezo...
1 Reactions
3 Replies
212 Views
Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
3 Reactions
3 Replies
173 Views
Kauli isemayo “Taifa linaloogopa kuuliza maswali, huogopa kujijenga” ni tafakari nzito kuhusu umuhimu wa udadisi, uwazi, na uhuru wa maoni katika maendeleo ya nchi. Katika muktadha wa Tanzania ya...
1 Reactions
1 Replies
205 Views
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameionya Serikali kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu vyuo vikuu kila mwaka inaweza kugeuka kuwa ‘bomu la kijamii’ ikiwa hakutakuwa na mpango madhubuti...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are...
3 Reactions
13 Replies
507 Views
Salaam! Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais. Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi . Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali...
5 Reactions
7 Replies
298 Views
Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny
5 Reactions
49 Replies
887 Views
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM), Festo Sanga, amesema kuwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini hauwezi kufanyika kwa wakati iwapo tatizo la rushwa litaendelea kushamiri. Kauli hiyo alitoa...
1 Reactions
5 Replies
244 Views
“You don’t change youths by giving them money You change them by giving them access.” Nitatoa uchambuzi na ushauri wangu kwa uzoefu wangu ONLINE, je hiki kitu kina manufaa?. Faida na hasara...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
DKT. MWIGULU AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA FAO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Bi. Beth...
0 Reactions
9 Replies
252 Views
Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga wa machawa wa Mama? Yaani wenyewe hawana imani kiasi kwamba wanafikiri ana muhujumu Mama hivyo wapambe wa Mama...
7 Reactions
26 Replies
940 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, ameitaka Serikali kupunguza vikwazo vinavyowakabili vijana katika mchakato wa kupata mikopo, akisema masharti yaliyopo kwa sasa ni magumu na yanawanyima fursa...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa...
41 Reactions
124 Replies
4K Views
Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose. Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa...
18 Reactions
72 Replies
2K Views
Mimi nishawahi kufanya kazi pale kama hakuna jambo la maana atawakaribisha na mtaishia kupiga picha tu. Warudi hata mara elfu waone kama watapata wanachokitaka, amesema Balozi W. Slaa.
10 Reactions
12 Replies
668 Views
Misaada imekatwa. Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa.
2 Reactions
3 Replies
200 Views
Wadogo zangu vijana wa Kitanzania habari zetu. Mimi ni kijana mkubwa 40+ na napenda niwaandikie barua kutoka moyoni kwangu kwa ninayo yaona miaka hii na kwa nchi yetu ya Tanzania. Mambo nitakayo...
25 Reactions
31 Replies
2K Views
Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
6 Reactions
16 Replies
450 Views
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ukonga Bakari Bakari Shingo, kuhusu Serikali kukemea vitendo vya kutoza gharama za matibabu kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 5, Naibu waziri wa...
1 Reactions
30 Replies
448 Views
Back
Top Bottom