Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi...
2 Reactions
6 Replies
310 Views
Waione Kiranga na Nyani Ngabu 🤭
18 Reactions
62 Replies
1K Views
Ukiistajabu ya Bilioni 200 za RAIS Samia kwa vijana wa taifa la Tanzania alizo zitoa Jana usiache kustaajabu la Milioni 500 za Hayati Magufuli ambazo alizitoa akiwa Rais kwa vijana wa chato na...
7 Reactions
7 Replies
518 Views
“Rais Samia Kumteua Mtoto wake (Wanu Hafidh Ameir) Kuwa Naibu Waziri imekuwa Nongwa kila siku Mnasema Mtandaoni, Eti Nchi imeuzwa, Hivi kweli mkimuangalia Abdul na wema wake ule anavaa Sandal na...
6 Reactions
51 Replies
1K Views
Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta. Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi...
2 Reactions
3 Replies
214 Views
Changamoto ya Mawasiliano ukiwa Karikoo katikati ya Soko ni kubwa mnoo kiasi kwamba inakulazimu utoke Dukani kwako au Ofisini kwako ukasimame nje barabarani ili uweze kupiga au kupokea simu...
1 Reactions
3 Replies
271 Views
Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa. Hata...
3 Reactions
16 Replies
675 Views
Wewe kataa kwenda Ubalozi. Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani). Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako. Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa...
46 Reactions
166 Replies
12K Views
Sisi Watanganyika, mamilioni kwa mamilioni, Tunayo mengi ya kutufanya tufurahi tunaposikia viongozi wowote wa CCM wanapopatwa mabaya, sisi kwetu ni sherehe Kila mtu anayejihusisha na CCM...
7 Reactions
13 Replies
392 Views
  • Featured
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na...
2 Reactions
4 Replies
339 Views
Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya...
4 Reactions
4 Replies
289 Views
Mzee wa Msoga hawezi kosekana kwenye Epstein files Ukaribu wake na Bus na Elite families unatilia mashaka makubwa Ukaribu wake na Tony blair pia Ilifika mahali hadi Bush akawa anakuja kwa...
3 Reactions
14 Replies
779 Views
Sio kwamba CCM ni chama kibaya, wala kwamba sera zake ni mbaya au kwamba watu wake ni wabaya au kwamba wanachama na viongozi wake hawana uwezo; hayo yote ni HAPANA. Ndani ya CCM kuna watu makini...
6 Reactions
12 Replies
256 Views
Dictators lugha wanayoielewa ni Vitendo, Actions! Bila kusikia risasi madikiteita wanakuwa na dharau isiyo kifani. Bila uprising, armed resistance madikiteita wanakuwa sugu!
4 Reactions
2 Replies
169 Views
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA KUSIMIKWA KWA UONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA ▪️ASISITIZA VIONGOZI WA DINI KUMUOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAIFA...
1 Reactions
15 Replies
445 Views
Tanroad mbona mnatana tuwafanyie kazi zenu au hadi raia wapange mawe barabarani kuzuia magari ndio mtaelewa ? Ajali maeneo hayo na kama hayo yenye kona zimezidi.....fanyeni utaratibu mupunguzie...
2 Reactions
6 Replies
206 Views
Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026...
1 Reactions
3 Replies
214 Views
Katibu mkuu wa TEC, Fr. Dr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc, PhD na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Jude Thadeus Ruwa'ichi OFMCap wameufyata mkia baada ya walei wa Kanisa hilo...
8 Reactions
63 Replies
1K Views
Back
Top Bottom