Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei. Ametoa kauli hiyo leo Mei 25...
1 Reactions
133 Replies
19K Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Hakuna asiyejua kuwa mikutano hii ilipigwa ban kimagumashi na mapolisi kushikilia bango na bado haki hii kikatiba imebamizwa kwa visingizio hivi na vile. Tunahitaji Rais Samia autangazie umma...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi. Lakini naona wanarudi...
5 Reactions
87 Replies
5K Views
Mbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge. Dkt. Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa...
3 Reactions
76 Replies
9K Views
CHAMA cha upinzani nchini Tanzania – NCCR-Mageuzi – kimekoleza moto katika mjadala unaohusu mahali alipo Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Matrida Peter Dar es Salaam … (endelea). Martha...
5 Reactions
47 Replies
7K Views
Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
====== Speaker wa bunge,Job Ndugai " Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu...
7 Reactions
108 Replies
9K Views
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako...
28 Reactions
76 Replies
11K Views
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mfanyabishara maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote alipokutana naye jijini Abuja, Nigeria, May 8, 2014 pembeni mwa Mkutano wa Dunia...
5 Reactions
60 Replies
25K Views
Rais Magufuli leo Desemba 10 amekutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa Kiwanda cha Dangote Mtwara, Bilionea namba moja Afrika, Alhaji Aliko Dangote. Rais Magufuli baada ya kufanya mazungumzo...
33 Reactions
568 Replies
75K Views
Awali ya yote nipende kukusalimu kwa salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (yaani 'kazi iendelee') Nikupe pole kwa kazi nzito ya kuongoza hili taifa letu na pia nakupa hongera ya kufikia...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na leapfrog kwa spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jobu Ndugai katika kuendesha Bunge. Je, ni kwa sababu ya speed ya awamu ya sita au Spika ana jambo lake?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuifanya Tanzania kuwa ni sehemu salama hasa linapokuja suala la kuwekeza. Leo Mei 25, 2021 Mhe. Samia Suluhu Hassan...
18 Reactions
67 Replies
6K Views
Bunge lililopita lilikuwa lenye Wabunge wa CCM na wa vyama mbadala. Hoja zinapotolewa na Wabunge wa CCM hata kama hazina uzito wowote zinashangiliwa lakini zikitolewa hoja zenye maslahi ya...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukifatilia tawala kubwa zilizopitA kale, za Sasa na matAifa yaliyoendelea kiuchumi Kuna mchango mkubwa Sana wa wageni kutoka nje. Ukiangalia asili ya Trump na Obama wote walitoka nje ya marekani...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama inavyojieleza Kwenye Picha hapo chini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda sasa karbu kila Rais akiingia watu wanajiweka attention kusubiri habari za teuzi za viongozi tena kwa bashasha kubwa huku wengine wakishangilia na wengine wakinunua baada ya teuzi. Bado...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
ELIMU YETU NDIYO MSINGI WA UKOLONI MAMBO LEO. Na Elius Ndabila 0768239284 Msingi mkubwa wa Maendeleo Duniani kote ni elimu. Hapa tunazungumzia elimu rasimi na isiyo rasimi mhimu ni ile elimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…