Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu.
Mbowe anaanzisha...
Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu
Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani
Kama siyo...
POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI.
Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum)
Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/=
-Mwezi April ilikuwa...
Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na...
Kuna vitu mtu lazima ukubali kuna watu wamebarikiwa tu, Jakaya Kikwete ni mchumi lakini akisimama kwenye mimbari kuongea historia ya nchi hii wapi tumetoka, Tupo wapi na tunaelekea wapi huwezi...
Ndugu zangu,
Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha...
Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka...
Makala hii nilimwandikia Dkt. Bashiru Mei 30, 2018. Nikimkaribisha katika siasa za CCM, nikamuonya, Bahati mbaya maonyo yangu yalipuuzwa, Jibu amelipata...!
_____________
KARIBU KATIKA SIASA...
TAKRIBAN miezi sita sasa imepita tokea Chadema waseme hawatambui matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Kutokana na msimamo huo ni wazi kwamba hawaamini,chama hicho hakitambui uwepo wa baraza la...
Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa...
Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za...
PICHA: Askofu Severine Niwemugizi
Toka mezani kwa Askofu Severine Niwemugizi
Tumesikia pendekezo la kikao cha ushauri cha mkoa wa Geita kuhusu uundwaji wa mkoa mpya wa Chato. Lakini ushauri wa...
Mwaka 2016 kuna walimu wanafunzi walionekana mtandaoni wakimuadhibu mwanafunzi wa shule ya sekondari huko Mbeya. Video ile ilikuwa ya kikatili sana na baada ya wahusika kubainika adhabu ya...
Rais Samia amemteua ndugu Rodrick Mpogolo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu BARA WA CCM kuwa Katibu Tawala mkoa wa Katavi, hii imekaaje?
Kiongozi wa Kisiasa kupewa nafasi ya uongozi wa kiutawala...
Dodoki? Sidhani kama Sabaya anasafishika! Hata kama ni mfumo kwanini iwe yeye tu?
Mama ametupa zawadi nzuri ya Eid. Huu ni ushahidi kuwa Sabaya ameumiza watu wengi ndio maana maamuzi ya...
Hamna mradi wowote ulioanzishwa na CCM ukawa Na matokeo mazuri.
1. Uwanja wa Taifa uko mekemeke hope hae, umekongoroka.
2. Ndege ni hasara Kila kukicha
3. Mwendokasi ni majanga
4. Hostel za...
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na...
SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI
Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali...
Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi...
Habari!
Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija).
Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya...