Jakaya Kikwete ni nguli na mwamba wa historia wa Tanzania na Afrika

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,099
Kuna vitu mtu lazima ukubali kuna watu wamebarikiwa tu, Jakaya Kikwete ni mchumi lakini akisimama kwenye mimbari kuongea historia ya nchi hii wapi tumetoka, Tupo wapi na tunaelekea wapi huwezi kuchoka kumsikiliza.

Hotuba ya Jakaya Kikwete kwenye mazishi ya Nelson Mandela hakika yalifungua macho ya wengi sana kuwa JK ni mtu wa aina gani.

kilichonifanya niandike huu uzi ni hotuba yake ya juzi chuo kikuu cha Dar es Salaam kuhusu SADC imetoka wapi na ipo wapi na inaelekea wapi.

Jakaya Kikwete amesimulia kuhusu SADC mambo ambayo hata vitabuni huwezi kuvipata na ukiyapata huwezi kuyaelewa kama anavyoyafafanua kikwete kwa ustadi mkubwa sana.

Historia ya Kituo cha Polisi Salender Bridge kwa mujibu wa Jakaya Kikwete kilijengwa baada ya Makomando Makaburu wa Afrika ya kusini kutaka kulipua daraja la salender Bridge, JK anasema hao Makomando waliingia vipi na walipita wapi hakuna aliyejua mpaka pale walipoamua kusimulia wenyewe kwa kuandika kitabu, Baada ya kutega mabomu kwenye daraja la salender Bridge makaburi waliondoka kurudi kwao wakisubiri litalipuka lakini Kwa bahati nzuri daraja halikuharibika.

Baada ya Makomando Makaburu wa Afrika kusini kulikosa kosa daraja ndio Serikali ikaamua kubadilisha ile nyumba pale ya ghorofa kuwa kituo cha Polisi, Lakini kabla ya hapo pale kituo cha Polisi Salender Bridge lile jengo lilikuwa hoteli.

JK anasema Makaburu walikuwa wanatoa onyo kwa nchi zote ambazo zilikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru kusini mwa Afrika, Nchi kama Angola na Msumbiji ziliwahi kuzimiwa umeme na Makaburu kama onyo.

Hotuba ya JK kwenye msiba wa hayati Ben Mkapa kuhusu Uchumi wa kata tumetoka wapi na ni mambo gani Mkapa aliyafanya kujenga Taasisi huwezi kuchoka kusikiliza, Kikwete alisababisha watu wapate hasira baada ya ile hotuba yake pale Masasi hasa kundi la Mwendazake, Kundi la mwendazake waliona historia inaonyesha mwendazake embe dodo la Uchumi wa kati lilimuangukia tu, Lakini kazi kubwa ilifanyika awali.

Hotuba ya Kikwete kwenye Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuwa hoja haipigwi nyundo bali hujibiwa kwa hoja, Alifafanua kauli hii akieleza jinsi mwalimu Nyerere alivyokuwa anasikiliza hoja kwa umakini bila hasira wala kuchukia, Lakini kundi la Mwendazake kama Ally Hapi alikurupuka kujibu hotuba ya JK akidhani ile hotuba ilimlenga mwendazake kumbe ililenga historia ya nchi.
 
Uvivu wa kufanya utafiti kwani mambo yote haya lazima yatakuwemo kwenye ARCHIVES za nchi!!! Hao vijana wake wanaomuandikia speech wanayatoa wapi kwani?
Waliosoma nae wanasema alipokuwa hapo UDSM akisomea uchumi alikuwa kiazi sana!!!
 
Yaan historian ambazo ,watoto wadogo wanaziongea ndio unampa sifa Kikwete.?Hakutukanae hakuchagulii tusi
 
Umeandika maneno meengi kumbe ushuzi tupu
 
Mbowe : Kikwete ni rais dhaifu kuwahi kutokea Tanzania.

Nikiwaza alivyoweza kuwashawishi chadema kumla casa huwa nacheeeeka

Akawaimbisha kuhusu ufisadi wake wakaimbaaaaa

Akamtengua wakasherekea na kumwita fisadi papa

Akamkata asigombee urais wakamdaka juu juu na kumwomba akagombee kwao sababu ana pesa zilezile za kifisadi

CCM baba lao
 
Kuna vitu mtu lazima ukubali kuna watu wamebarikiwa tu, Jakaya Kikwete ni mchumi lakini akisimama kwenye mimbari kuongea historia ya nchi hii wapi tumetoka, Tupo wapi na tunaelekea wapi huwezi kuchoka kumsikiliza.

Hotuba ya Jakaya Kikwete kwenye mazishi ya Nelson Mandela hakika yalifungua macho ya wengi sana kuwa JK ni mtu wa aina gani.

kilichonifanya niandike huu uzi ni hotuba yake ya juzi chuo kikuu cha Dar es Salaam kuhusu SADC imetoka wapi na ipo wapi na inaelekea wapi.

Jakaya Kikwete amesimulia kuhusu SADC mambo ambayo hata vitabuni huwezi kuvipata na ukiyapata huwezi kuyaelewa kama anavyoyafafanua kikwete kwa ustadi mkubwa sana.

Historia ya Kituo cha Polisi Salender Bridge kwa mujibu wa Jakaya Kikwete kilijengwa baada ya Makomando Makaburu wa Afrika ya kusini kutaka kulipua daraja la salender Bridge, JK anasema hao Makomando waliingia vipi na walipita wapi hakuna aliyejua mpaka pale walipoamua kusimulia wenyewe kwa kuandika kitabu, Baada ya kutega mabomu kwenye daraja la salender Bridge makaburi waliondoka kurudi kwao wakisubiri litalipuka lakini Kwa bahati nzuri daraja halikuharibika.

Baada ya Makomando Makaburu wa Afrika kusini kulikosa kosa daraja ndio Serikali ikaamua kubadilisha ile nyumba pale ya ghorofa kuwa kituo cha Polisi, Lakini kabla ya hapo pale kituo cha Polisi Salender Bridge lile jengo lilikuwa hoteli.

JK anasema Makaburu walikuwa wanatoa onyo kwa nchi zote ambazo zilikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru kusini mwa Afrika, Nchi kama Angola na Msumbiji ziliwahi kuzimiwa umeme na Makaburu kama onyo.

Hotuba ya JK kwenye msiba wa hayati Ben Mkapa kuhusu Uchumi wa kata tumetoka wapi na ni mambo gani Mkapa aliyafanya kujenga Taasisi huwezi kuchoka kusikiliza, Kikwete alisababisha watu wapate hasira baada ya ile hotuba yake pale Masasi hasa kundi la Mwendazake, Kundi la mwendazake waliona historia inaonyesha mwendazake embe dodo la Uchumi wa kati lilimuangukia tu, Lakini kazi kubwa ilifanyika awali.

Hotuba ya Kikwete kwenye Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuwa hoja haipigwi nyundo bali hujibiwa kwa hoja, Alifafanua kauli hii akieleza jinsi mwalimu Nyerere alivyokuwa anasikiliza hoja kwa umakini bila hasira wala kuchukia, Lakini kundi la Mwendazake kama Ally Hapi alikurupuka kujibu hotuba ya JK akidhani ile hotuba ilimlenga mwendazake kumbe ililenga historia ya nchi.
Swadaktaaa.......👍

Jakaya Kikwete ni MWAMBA NA NGULI WA HISTORIA.......

#KaziInaendelea
 
Jk alizianza siasa akiwa mdogo sana, JK amekulia kwenye mfumo chini ya Mzee JKN kifupi ni moja ya vijana waliokuzwa na Mzee JKN.... Haiba ile ndio imemfikisha hapo alipo.

ukiangalia hata vijana waliokulia kwenye mikono ya JK kisiasa wana haiba nzuri na wengi hufika mbali na hukubalika sana na jamii...sitopenda kuwataja hapa....Hata yule aliyeletwa kwa JK na marehemu mzee six alianza kukuzwa vizuri lakini ghafla bin vuu akakosa uvumilivu akakaangukia kwenye mikono ya wale jamaa akaharibikiwa mazima mpaka leo amekuwa haaminiki tena...

Hata ukianzisha mnyukano na JK basi utanyukwa kimyakimya bila kelele mpaka upotee, huu ni ukomavu mkubwa sana kisiasa, maana vita inapigwa bila wengine kujua na siku zote watu ndio wanaanzisha zogo nae lakini mwishoni anabaki mshindi....ukitaka kujua ukomavu wa JK waulize wanamtandao na bosi wao RA kilichowakuta pale bosi msaidizi alipotaka kulizua lakuzua....JK aliunda mtandao ukamuweka ikulu na JK huyohuyo akaumaliza mtandao na kwenye hii vita wakaibuka wengi kupigana vita wasioijua....Hiki jipya ngoja tuliache mpaka litakapopoa lakini wenyewe wanajua nini walichofanya na kilichotokea....
 
Back
Top Bottom