Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uongozi ni hekima na busara, Aggrey Mwanri alikuwa mkuu wa Mkoa mwenye vitisho, mikwara sana lakini hakuwahi hata siku moja kumlaza mtu ndani yaani Polisi Akiwa Tabora alitembelea miradi kwa...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa...
0 Reactions
4 Replies
820 Views
Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga...
15 Reactions
148 Replies
19K Views
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Mwaka 2015 tulikuwa na uchaguzi mkuu wa viongozi wakisiasa. Miongoni mwa wanasiasa waliogombea nafasi ya urais walinenwa kuwa ni wagonjwa hadi wakachafuana kwa matusi kuwa wanajichafua wakiwa...
1 Reactions
2 Replies
846 Views
Mh. Waziri wa ardhi nakuomba ufuatilie mgogoro wa ardhi Kizwite manispaa ya Sumbawanga unaosababishwa na maafisa ardhi wala rushwa kwa kushirikiana na matapeli wa viwanja mimi ni mmoja wa wamiliki...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana. Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa...
6 Reactions
70 Replies
5K Views
Soma wanachosema madaktari mabingwa wa Afrika; Tanzania itaendelea kulala hadi itakapoamka? Why Africa could face vaccine-resistant Covid Summary : New variants of the SARS-CoV-2 are rapidly...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Ndugu zangu, Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia. Mwisho wa mwezi wa kumi mwaka 2020 ndugu Tundu Lissu aliitisha...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano, Kazi iendelee! Nianze na ziara yako kikazi nchini Kenya ambapo ulitilia mkazo sera ya "kufungua nchi" wengi wanaoshangilia wanataka...
7 Reactions
74 Replies
4K Views
Kuna Mapro mwendazake wengi wanataka watanzania hasa waliojeruhiwa na utawala wa Shujaa kusamehe na kuendelea mbele na mambo mengine. Tukiroll back kuanzia uchaguzi wa S.Mitaa ukija uchaguzi mkuu...
4 Reactions
8 Replies
994 Views
Huu ni uzi huru (sio rasmi) Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote. Huu...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Mrisho Gambo akichangia Bungeni kwenye Bajeti iliyopendekezwa, ameielezea kutotoa ahueni yoyote kwenye sekta ya utalii iliyoyumba kutokana changamoto za ugonjwa wa Covid. Amesema mchango wa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana. Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake...
9 Reactions
90 Replies
11K Views
Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
DC OLE SABAYA ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai inasemekana shutuma zote ni za Uongo. Ikumbukwe Sabaya alikuwa UVCCM Arusha na alikuwa anajifanya ni TISS kama ambayvo Happi amekuwa akiongopea...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe dume na jike. Zawadi hiyo imetolewa na vijana wa mkoa wa Mwanza ikiwa ni shukrani kwake kwa kuendelea...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo Rais ametunyoshea mkono vijana kwa kuwa hatueleweki. Hatuna mipango. Amesema kuwa Vijana wamekuwa wabeba maono/ Mabegi wa watu. Hatuna dira kama Vijana hata sera ya tangu 2007 haina maboresho...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
HOJA ya Katiba mpya imeanza tena kuibuka kwa kasi kidogo, kwa maelezo kwamba hiki ni kipaumbele cha taifa kwa sasa. Kwamba baadhi yetu wanaamini kwamba bila Katiba mpya hatuwezi kupiga hatua za...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…