Uchaguzi wa S/Mitaa na Uchaguzi Mkuu ni sababu tosha za kutomsamehe Shujaa bali tumuachie Mungu ataamua.

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
831
1,000
Kuna Mapro mwendazake wengi wanataka watanzania hasa waliojeruhiwa na utawala wa Shujaa kusamehe na kuendelea mbele na mambo mengine.

Tukiroll back kuanzia uchaguzi wa S.Mitaa ukija uchaguzi mkuu na taharuki za jumuiya ya kimataifa mimi nachelea kusema kuwa kaka yangu aliumiza sana watu tena kwa makusudi. Tungewaacha majeruhi wa utawala wake watoe mapovu mpaka watakaporidhika sababu tunajua hata leo hii Kaka angekuwapo hawa wangeendelea kulimia meno. Na hatujui 2025 angefanya vituko gani.
Dhuluma ya Chaguzi hizo mbili ni dhuluma kubwa sana kwa taifa.Suala kumsamehe au lah waachiwe walioumia na mengine aachiwe Mungu.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,317
2,000
wewe msamehe au mbebee mimba,hakuna kitu unaezafanya zaidi ya kupata maumivu zaidi.

kama uchaguzi mlipigwa kwa upuuzi wenu.
kwa madhaifu ya kwanza mkarudia tena oct mkapigwa tenaa.

over.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
15,918
2,000
Kuna Mapro mwendazake wengi wanataka watanzania hasa waliojeruhiwa na utawala wa Shujaa kusamehe na kuendelea mbele na mambo mengine.

Tukiroll back kuanzia uchaguzi wa S.Mitaa ukija uchaguzi mkuu na taharuki za jumuiya ya kimataifa mimi nachelea kusema kuwa kaka yangu aliumiza sana watu tena kwa makusudi. Tungewaacha majeruhi wa utawala wake watoe mapovu mpaka watakaporidhika sababu tunajua hata leo hii Kaka angekuwapo hawa wangeendelea kulimia meno. Na hatujui 2025 angefanya vituko gani.
Dhuluma ya Chaguzi hizo mbili ni dhuluma kubwa sana kwa taifa.Suala kumsamehe au lah waachiwe walioumia na mengine aachiwe Mungu.
Kuwasamehe ni kufuta uchaguzi huo urudiwe na kukubali Katiba mpya itakayounda Tume huru ya uchaguzi na sheria bora za nchi. Vinginevyo waache twende hivi hivi sisi tumeshazoea hii hali.
 
kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
5,680
2,000
Na ninyi Akili mshazikimbiziaga sijui wapi! Sijawahi ona mnaandamana kuwapinga viongozi wenu wanaowafanya ndondocha kwa kukataa kushiriki uchaguzi Wa S/mitaa na wakati huo huo wanawaambia uchaguzi mkuu tutashiriki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom