Alama ya Nyundo na Jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima?

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa.

Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za serikali na kupeana benzi, wakulima wamesahaauliwa.

Mama yetu tafadhali sikia kilio cha Wakulima. Hawana huduma za ugani, hawapati pembejeo kwa wakati. Vyuo vya Kilimo havina fedha za utafiti wa mbegu bora na namna ya kukabiliana na magonjwa ya mimea na mifugo.

A New Design - Made with PosterMyWall(3).jpg
 
Back
Top Bottom